Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Attachments

  • Screenshot_20240810-150147.jpg
    Screenshot_20240810-150147.jpg
    176.8 KB · Views: 4
LAITI UNGEJITUNZA USINGELIA HUMU
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

AAAACHA NIKUKERE,,,SEMA UNGEKUJA NA ID YAKO YA ZAMAN INGEPENDEZA ZAIDI,,
 
BADO HUJATHEMAA
 
Habari wadau

Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa

Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.

Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi? Ila mwanamke anaeweka kigezo cha pesa na mali anaonekana yupo sahihi

In the long run, bikira ina matumizi gani? Mbona mbio zetu zinaonyesha kuna mambo sio ya kuzingatia kwa mwanaume yoyote above 20 years
 
Back
Top Bottom