Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

[emoji23][emoji23]daaah nimekumbuka mbali nilidakwa nime cheat na ushahidi juu mwanamke wangu kaupata wa picha na bado nilikana kuwa sijafanya hicho kitu niliruka futi 100 lakini kesi ilikuja kuisha kibishi ikabidi wife akubaliane na mimi japo kishingo upande ila yaliisha na upendo ulizidi sana
 
Sasa hapo kwenye asilete magonjwa yeye anajua katika hizo papuchi ipi itakuwa salama?? Na nyie mnasemaga pipi hailiwi na ganda??
 
Nilishawahi date na manzi fulan kuna siku akanitext ya kuwa kuna jamaa nimesoma nae asa huyo jamaa kampa story manzi ya kuwa mimi nilikuwa nawakimbiza toka darasa la kwanza hadi la saba( il ni ukweli).
We nilimbadilikia manzi nikamwambia jamaa kakudanganya huyo sio kweli. Nilikataa katakata. Mpaka mwisho nilikataa.
 
Mwanaume hakosei anateleza tu
 
Taikon wa fasihi# kukabali kosa mahakamani sio kwamba ndo utasamehewa ila ndo utarahisisha kupewa hukumu.
 
Wewe sista huendi mbinguni.
 
Mwanamke unamkubalia vipi sasa, maana ukimkubalia tu my broh huna bahati.
Mwanamke akijua udhaifu wako lazima akutese.
 
Hili nalo mkaliangalie
 
Mwanamke....siku ukimfumania mmeo iwe kwa njia yoyote ile na mwanaume akakiri kuwa amefanya hivyo jua hakupendi kabisa, mwanaume ambaye anampenda mke wake kamwe hawezi kukiri kuwa kachepuka... Pia wanawake kumbuka kuwa mwanaume kuchepuka si kwamba hakupendi bali ni tamaa za kimwili na maumbile ya wanaume yako hivyo wala lisiwape shida, zaidi mwanaume aliyeoa akija kukutongoza we mwanamke tambua kuwa hajakupenda bali amekutamani na heshima ya mke wake iko palepale. Ni vyema kujizuia kuchepuka kama inawezekana.
 
Dalili ya kwanza ya kuwa mwanaume wa kweli ni kukana hata kama kesi ina ushahidi kamili
 
Ukitaka mwanamke adai taraka Muda huo huo basi mwambie ukweli
UMEKWISHAAAAAAA
MWANAUME HATA UKIKAMATWA UCHI SEMA NILIKUWA NAPIGA PUSH-UP NINA PAMBANO NA MADONGA
 
Wewe cheza tu part yako..... Tafuta furaha yako then penda watoto wako..
 
Nimecheka mnoooo, kisa nn akufurahishe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejifunza mengi kutoka KWA mama aliniambia mwanaume hakaguliwi wala kuchungwa ukiwa unakula unashiba na watoto wanakula na kushiba na wanasoma inatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndoa zjna mengi, uwiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…