Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Sio mimi wameni EDIT. 😂🙌
Kuna mwamba alifumwa live na mwanafunzi(yeye ni tcha) akili za haraka alidai kuwa hawajafanya chochote kibaya bali alikuwa anamfundisha baioloji(biology) kwa vitendo!
 
Sasa ulitaka akubali ili umnyanyase kwa maneno ?

Mwanaume hutakiwi kukubali kubali makosa kwa mkeo au mpenzi.. me sijaoa ila siwezi kukubali kosa kamwe kwa mwanamke na kuanza kutia huruma kuomba msamaha.

Kukubali kosa na kuomba msamaha unatengeneza bom kubwa sana hata akisema amekusamehe..

Mwanamke wangu lkn sjamuoa alikutaga sms napanga na mwanamke mwingine kuzagamuana ila nilruka futi 2000 na kuwa mkali na kufoka juu mpka leo hatakagi kushika sim yangu na me yake sishiki hata kama napigiwa huko sitaki kushika sim yake kikubwa ananiheshimu na kunisikiliza basi
 
Mwanaume hata ashikwe Red-handed hatakiwi kukubali
Atafute sababu ya kupanga hoja na kueleza hakuna kilichofanyika.

Ikiwezekana amsingizie huyo mwanamke ni mchawi na mshirikina.

Mwanaume kukubali Kwa mdomo ni Kuruhusu Mkeo alipize kisasi Kwa ushahidi wa mdomo.

Mwanamke anaamini maneno zaidi kuliko anachokiona.
Mwanamke ukimuambia Fulani umetoka naye anaamini zaidi kuliko akikufumania ukakataa katakata Kwa kuapa na kugaragara
 
Sasa kweli na wee unajshije sinza na na mume kbsa wa ndoa Kama siyo kujitafutia matatizo kitendo Cha kusema mmnaishi sinza bas Happ Happ nikaona lzm jama awe mchepukaji mzuri sanaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yawezekana hata yeye anachepukiwa.
Sinza maeneo ya kulia wadada wazuri.
Anapangishiwa nyumba safiii aafu anajiona mke
 
Mamaa toa location tulete posa acha kutukazia hivyo.. i promise mimi nitakua sikudanganyi [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa ila account YAKO inasoma vzr? Wanangu watarajiwa wasije lala njaa na wakakosa ELIMU[emoji849][emoji849]
 
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?

9].

Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Mwanamke ni trafiki
Mwanaume ni gari.

Elewa concept
 
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?

Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sàa 3 kasoro hivi.

Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sàa 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.

Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.

Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].

Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Hapo wa kulaumiwa ni bodaboda
 
kwanini asitumie falsafa ya mwana FA, naye akalipize abanduliwe tu hapo jirani Sinza ili kupunguza maumivu? lkn haitafuta machungu. Ngoja nimtafutie music wake
Ushauri bora kabisa...tena uzuri yeye anachagua nani wa kumpa mbussu yake
 
Pokea hiyo hela kwanza kisha baadaye tutasoma.ujumbe[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipokei hela ina nataka kujua akiba yake tu mimi[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Na huyo rafiki aloenda kumuona hawajawasiliana kwenye cm wana muda aliendaje bila mawasiliano?
Wadau tunajuana mimi marafiki zangu najua nawakuta wapi na wao wanajua wananikuta wapi apo me namtetea mwamba asingeweza kuchukua risiti huo sio ushahidi izo ni dhana zako tu mbovu
 
Back
Top Bottom