Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Amini na kuambieni Mwanaume hata ukikutwa juu ya kifua na unamwagia ndani , hutakiwi kukubali ni kukataa tuu.. hawa viumbe ukiwa mkweli umekwisha mwanaume mwenzangu... .kataeni kadiri muwezavyo mtakuja kunishukuru....
 
Noted
 
Kwahiyo ukikutwa kifuani utadanganya kwamba ulijikuta tu ghafla Upo pale au?
 
Amna ni uzembe tu mkuu. Haiwezekani mtu ambae yuko makini abebane na marisiti sijui ma kondom ya gesti wakati hayakusaidii chochote. Mimi nikienda guest kila kitu naacha humo humo. Meseji zote futa immediately usiseme ntafuta baadae au nikifika huo ni uzembe.
 
Kasema bora akatae kuliko kuthibitisha kwa mdomo wake..!! Unakuta mwingine akishathibitisha bado kuondoka hawezi..!! Sa si bora adanganywe tu apate sababu ya kutoondoka, kuliko umepata sababu ya kuondoka halafu huwezi ondoka
Mwanamke yeyote unayemfanyia hivo na haondoki usijione unapendwa anawazia watoto wake tu lkn wewe haupo moyoni tena
 
Njia ya muongo ni fupi
 
[emoji2][emoji2][emoji2]et mtamu kuliko mm
 
Tatizo mkiombwa msamaha ndo inakuwa reference kwa kila kosa huko mbele ya safari
Bora kukataa tu mambo yasiwe mengi
Mbona hiyo nayo ni reference tosha hata kama ulikataa
 
Hivi huwa mnajua maumivu mnayotusababishia?? Huwa hayaelezeki
 
litaisha tu hilo itabaki history...ila utasema labda kweli bodaboda...lkn aseme katoka kumnyandua mtu...daaah unamwmwaga...na kesi juu na kila kitu kinaisha bora ubaki 50/50.
Hakuna cha boda mkuu hiyo kwenye moyo wangu nishaamini ni yeye maana ushahidi upo
 
Nimejaribu kufikilia sana, Kulingana na maelezo yako.NI KWELI KABISA HIYO RISITI NI YA BODABODA.Yaani niende kando niombe na risiti tena niweke mfukoni!!!! AMINI ULICHOAMBIWA.
Na huyo rafiki aloenda kumuona hawajawasiliana kwenye cm wana muda aliendaje bila mawasiliano?
 
na huo ndo uanaume nami hapa mwanamke naruka futi mia sembuse mwanamme

Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Amini na kuambieni Mwanaume hata ukikutwa juu ya kifua na unamwagia ndani , hutakiwi kukubali ni kukataa tuu.. hawa viumbe ukiwa mkweli umekwisha mwanaume mwenzangu... .kataeni kadiri muwezavyo mtakuja kunishukuru....
unamsingizia shetani siyo,

Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Kama hutaacha kuna siku utashikwa tu tena kizembe kweli kweli. Mark my words. Na pengine utakumbuka maongezi haya na kuishia kucheka tu 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…