Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Jifunze kuamini utakuwa na amani sana hta km kunaviashiria vibya umeviona amini ni mumewako anakupnda bas mengine muachie mwenyew japo inaumiza wanaume Hawakubali makosa kirahis na ukiendelea nalo utaeumia ni wew
 
Hapa tutapiga a vikumbo huko pm balaaaa. Mpaka sasa naona pm yake imeshajaa ofa kibao. Ila bwana yule bwana wa kulipwa mil17 akitia mguu tuu tujue tumesha mkosa mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe bro wa mbususu unapambania hili kombe [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ndo hivyo, hataki anacha tu kama ni rahisi. Cheater ni cheater tu hataacha labda yesu aje
kwanini asitumie falsafa ya mwana FA, naye akalipize abanduliwe tu hapo jirani Sinza ili kupunguza maumivu? lkn haitafuta machungu. Ngoja nimtafutie music wake
 
Kiukweli jamaa kapiga NDONDO ila sio suala kama umeamua kusamehe samehe tum
 
kwanini asitumie falsafa ya mwana FA, naye akalipize abanduliwe tu hapo jirani Sinza ili kupunguza maumivu? lkn haitafuta machungu. Ngoja nimtafutie music wake
Mi nashangaa watu wanalia lia
 
Sasa wangekata hzo pumbu huoni kama inge affect performance yake na ukakosa tendo la ndoa na kupata watoto incase kama ungetaka kuongeza
 
Safi inabidi utulie akili ikae sawa ujue namna ya kupangua [emoji3]
 
Maji mara moja sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…