Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Utakapokua umejipata wanawake watajisogeza kwenye maisha yako, sasa hiki ndicho kipindi ambacho hautakiwi kuwa na huruma kabisa kwa mwanamke.
Kumbuka walijiweka mbali na wewe kipindi unajitafuta, hivyo basi na wewe utakapojipata jiweke mbali na wanawake masikini.
Kumbuka hakuna mwanamke alievunja sheria zake kwa ajiri yako kipindi unajitafuta, na hii iwe sababu ya wewe pia kutotakiwa kushusha standards zako kwa ajiri ya mwanamke.
Kumbuka girlfriend wako alikua anawaachia nafasi ya uhuru wanaume wengine na kutafuta attention yao akifikiri kwamba alikua anafanya favour kudate na wewe ukiwa broke, hivyo basi na wewe unapaswa kuonja radha tofauti tofauti kama mwamba Baltasar. Husiruhusu kufanywa mateka na mwanamke wakati hela ni zako.
Kumbuka hakuna mwanamke anaweza kudate na wewe kama hauongezi thamani yoyote kwenye maisha yake, na iyo ndio sababu hautakiwi kutulia na mwanamke ambae haiongezi thamani kwenye maisha yako.
Akija na msambwanda wake tu wakati kichwani hana kitu. Wewe bonyeza ilo limsambwanda, lipige makofi, lichakate kisaswa sawa. Ukishamalizana nalo litupe mtaani uko mabaharia waendeleze ulipoishia.
Uwanja wa mahusiano ni kama kama maisha ya msituni. Leo unaweza kuwa mwindaji kesho wewe ukawa mwindwaji. Hakuna atakaekuonea huruma kwa udhaifu wako, ni survival of the fittest.
Unajua nini, hakuna shida yoyote mwanamke kuweka vigezo vya juu pale anapotaka mwanaume. Mrefu, ana hela, msomi, ana cheo, anatokea familia yenye ukwasi n.k hakuna ubaya wowote mwanamke kuweka ivyo vigezo.
Lakini mwanamke uyo nae anatakiwa kuwa na standards zinazoendana na mwanaume anaemtaka. Sura au makalio sio vigezo toshelezi.
Anatakiwa awe ametokea kwenye familia nzuri, bikira, past safi, msomi, under 25, rsepectful, submisive na awe tayari kuongeza thamani kwenye maono yako
Usiruhudu jamii ikudanganye na upuuzi wa past doesn't matter au ujinga wa accept her as she is. Kama haingii kwenye standards zako mpige chini kwa sababu endapo wewe usingekua na standards anazozitaka angekuona kama takataka tu.
Hata siku moja usifanye ujinga wa kushusha standards zako ili mwanamke awe comfortable. Wanawake wana tabia yao wakishajijua hawana vigezo wanajifanya victim. Simamia misingi yako usikubali wakulaghai
Set your standards high, stand your ground and make sure she is worthy of your time, energy and effort. Real man don't settle for less.