Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Embu tuanze na hili kwanza la vichanga , unaelewa Allah aliua watu wote kwa nuhu wake , embu weka ushahidi vichanga havikuuliwa

Koran 71:26. Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!

Ngoja nikuoneshe mungu mwenye jinsia na uume

Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....

Akitaka anapiga machine Malaika au houri
Allah Hana jinsia ila Mungu wenu ana jinsia,,au unakana kua Yesu sio Mungu,,,na umetoka kusema alikatwa govi Sasa govi linakatwa wapi kama sio kwenye uume?? halafu usipotoshe hiyo aya ipo hivi;

21:16 - Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo

21:17 - Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.

Nimekuonesha Yehova alivobariki watu wauawe kwa upanga unabadili mada kwa kuleta habari za gharika,, point Ni kwamba Yehova ndio muasisi wa kuua watu kwa upanga.
 
Hiyo Aya nenda kasome tafsir uone , au soma translation tofauti , waislamu ni waongo Sana likija swala la translation

Kwa hiyo unakiri Yehova ndio alimtanguliwa Allah kuwepo , sasa habari za Allah kumwambia nuhu ataua watu wote na kumuacha nuhu na ndugu zake aliua watoto au aliwaacha?


Kwa nini Allah alibariki watoto wafe kwa maji? Ukipata jibu utakuwa umepata na la Jehovah
 
Ungekuwa unajuwa hiyo miezi na hizo tarehe za siku kuu zimepangwa na akina Nani wala usingeleta upupu humu.
 
Ingia hapa upate ukweli , Allah anasema akitaka mke anachukua nani , ila anasema hana hisia kwa wakati huo

 
Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
Kwahiyo yesu kristo alifufuka siku ya tarehe 17 April....😂😂😂😂😂😂

Upopoma wa SGR huu
 
Wewe Muhammadan (56) rapist wa Aisha (9) nini hasa logic yako? Umeanza la kwanza 99 au? Kumbe naongea na maamuma wa juzi tu.
 
Hahaaaaa, umenifurahisha na umemuweza. Jamaa zamani walikuwa wanasumbua sana wakristo sababu wakristo tulikuwa hatusomi kiarabu chao. Sasa wengi tunasoma quran na tunaijua. Ni najua quran inasema Allah ana jicho moja na ana mguu mmoja. Ni mlemavu.
 
Wewe Muhammadan (56) rapist wa Aisha (9) nini hasa logic yako? Umeanza la kwanza 99 au? Kumbe naongea na maamuma wa juzi tu.
na Joseph (90+) baba yake wa kambo na yesu kukioa ki binti Cha maika 12 Mariamu hii hujawai ona ni ubakaji😂😂😂😂😂😂


Ukiwa mkristo basically unapungukiwa 50 to 75% ya akili yako
 
Hata sikusoma huu upuuzi wako ulioandika wewe mtoto wa mbakaji muddy.
 
na Joseph (90+) baba yake wa kambo na yesu kukioa ki binti Cha maika 12 Mariamu hii hujawai ona ni ubakaji😂😂😂😂😂😂


Ukiwa mkristo basically unapungukiwa 50 to 75% ya akili yako
Unatunga sio wewe Mtoto wa ndoa ya utotoni ili kutafuta justification ya ubakaji wa muddy?
 
Kama waislam waongo na wakristo Ni waongo pro na wazushi ndo maana Kila dhehebu Lina biblia yao na mna shindana kuzifanyia editing biblia ndo unakuta version ishirini na kidogo kazi yenu kuongeza na kupunguza mnayoyaita maneno ya Mungu na kubuni na kuondoa baadhi yake sijui mnafanya hivyo kwa mamlaka ya Nani wakati hata yesu alisema hata mbingu zitapoondoka nukta moja ya torati haitaondoka lakini Paulo anasema mmekombolewa na Sheria Sasa hapo Nani muongo yesu au Paulo/sauli,,, Kisha kwenye uongo wenu mnamsingizia roho mtakatifu sababu haonekani ajabu naona Kila dhehebu Lina roho mtakatifu wao anaowaongoza sasa sijui mna roho watakatifu wangapi maana Kila dhehebu na biblia yao,,Kama mna roho zaidi ya mmoja ina maana utatu mtakatifu Ni uongo pia maana itakua Ni baba,,mwana na maroho watakatifu na Kama mnaongozwa na roho mmoja iweje mtofautiane roho anawaacha vipi mnachanganyana Mara wengine yesu Mungu,,wengine mwana wa Mungu,,wengine nabii,,,wengine wana krisimasi na pasaka wengine hola wengine wanasali jumapili wengine jumamosi,,wengine wazungumze Kama wamepandwa na mashetani wengine hola na wapo wanaobusu masanamu,,,Ni tafrani vurugumechi huyo roho SI awaongoze kwenye neno moja lililosawa ila huku kutofautiana ina maana roho Ni muongo na mchonganishi au nyie wakristo ni waongo mnamsingia roho.
 
Aisee ndo maana siku hizi siipendi jf,imekuwa ya kijinga,mada za kijinga kutoka kwa wajinga,wenye akili za kijinga.

Kuna mijitu ya hovyo humu sijapata ona,sasa unawashwa na nini hasa??

Hayo mambo yenu ysnskuwaga masika mvua tele hasa huu mwezi wa nne,kwahiyo unataka kusemaje??

Oooh Mungu wape iman/aman wsja walio na chuki moyoni mwao,maana iman za wenzao zinawanyima usingizi na wanateseka haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na Joseph (90+) baba yake wa kambo na yesu kukioa ki binti Cha maika 12 Mariamu hii hujawai ona ni ubakaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ni kwa mujibu wa chanzo kimoja cha historia, japo ...
 
Whoa
 
Nina uhakika huo upuuzi umeusoma wote sema akili umemuachia mchungaji kanisani akushikie utazipitia jumapili wewe mtoto wa hanithi na mwizi wa punda na ngano za watu
Are you a muslim/muslimah? you know this ain't right, huh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…