MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #21
Hatimaye Moto umeshaanza Kuwaka sasa.Wewe acha upumbavu, unataka waislamu, wafunge kwa kufuata mistari ya bibilia sasa utakua Uislamu huo.
Leo hii kanuni licha kuwa si za Kiislamu, bali hata kwenye bibilia hakuna kipengele kinachokuagiza wewe mfuasi, kufunga mwezi mzima bila kula.
Tatizo imani yako huifuatili, ila ukiusema Uislamu vibaya unajua yesu upo na yesu karibu.
Na lile Jua Kali tunalolitarajia tarehe 2 au 3 au 4 Mwezi ujao ( May ) lenyewe huwa linamaanisha nini labda Ndugu?Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
👇hizi hints za mtoa mada zimeshindwa kureason jibu rahis kama lako...😄Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku
Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.
Hiyo mvua itanyesha vipi?
Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
Ulichokiandika mbona, hakiendani nilichoandika mimi, au hata mwandishi wa mada hii.Kweli mkuu hata Uarabuni waislam ni wengi sababu wamesilimu na kule kwao kubadili dini kutoka uislamu ni kitu cha kawaida huwezi kuhukumiwa kifo
Mkuu naona unataka vita na wale jamaa watoto wa mama mdogo,jiandae.Na lile Jua Kali tunalolitarajia tarehe 2 au 3 au 4 Mwezi ujao ( May ) lenyewe huwa linamaanisha nini labda Ndugu?
Empty suit.Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Huku wengine akiwakaanga na jua Kali tu [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Hapa Los Angeles haijanyesha hata tone. Hizo zitakuwa baraka na "Mungu" mbaguzi.Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
Hivi ana ID ngapi huyu mtu [emoji28][emoji28]Popoma at work
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawasema wale ambao wanabadili ratiba ya chakula kutoka mchana kuwa usiku?