Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Wewe acha upumbavu, unataka waislamu, wafunge kwa kufuata mistari ya bibilia sasa utakua Uislamu huo.
Leo hii kanuni licha kuwa si za Kiislamu, bali hata kwenye bibilia hakuna kipengele kinachokuagiza wewe mfuasi, kufunga mwezi mzima bila kula.

Tatizo imani yako huifuatili, ila ukiusema Uislamu vibaya unajua yesu upo na yesu karibu.
Hatimaye Moto umeshaanza Kuwaka sasa.
 
Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku

Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.

Hiyo mvua itanyesha vipi?

Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
👇hizi hints za mtoa mada zimeshindwa kureason jibu rahis kama lako...😄
Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
 
Kwa pasaka ya 2020 aisee ilianza mvua siku ya j5 mpaka jpili saa tisa alaasiri yaaani mafuriko sasa kipindi hicho mi nipo Mji mwema kigamboni nna fanya kazi zangu ispokuwa hukuu mashenzini chumba nilichofikia ni balaa maji ya shingo.
 
Kama mwenyezi Mungu angekua na roho kama yako basi wengi watenda maovu wanaomdhihaki wangeshapotea,
Tambua hili jambo ni la ki geografia zaidi, wakati ubazungumza hivyo, ameneo mengi ya dunia hakuna mvua, na pia kama utakumbuka kipindi miaka minne iliopita hakukunyesha mvua hadi watu wakasema Magufuli anagundu. Kwa bahati mbaya udini unakusumbua,
Au unadhani ni wote wanaoitwa wakristo wanaotambua pasaka ya kesho kutwa?
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Empty suit.
 
Huku wengine akiwakaanga na jua Kali tu [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]

Pep
 
Back
Top Bottom