Pompoma kimpopapompaGifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
Je, una lingine labda?
Mkuu why ujiteshe kumfundisha Pompoma elimu yote hii?Wakristo wengi wako wakristo sababu wamezaliwa na wazazi wakristo, ila wengi hawana mafundisho juu ya Ukristo nini, na jinsi ya kuishi.
Pasaka kila mwaka inafanyika, Wiki ya pili ya mwezi wa nne.
Mwezi wa nne,kwa Dar ni kipindi cha mvua, lakini ukitaka kuona akili za huyu mwenye mada zinafikili karibu. Pasaka inaadhimishwa Duniani kote, ila kuna upande wa Dunia mwezi huu hawana mvua.
Hata hapa Tanzania tu baadhi ya maeneo yanashuhudia jua.
Anajua mwenyewe ,jamaa ana Id kibao anaweza anzisha uzi akajijibu kwa Id zake pekee na ukafika page hata 3 .Hivi ana ID ngapi huyu mtu [emoji28][emoji28]
Dah....nadhani hata Mwalimu wako wa jiografia akiuona huu Uzi atakukana.....haujui hata majira yalivyo kulingana na mzunguko wa Dunia kwenye Muhimbili wake......hata hivyo hao walioleta hizi Imani....huko kwao...."siku za mvua" humaananisha "nyakati ngumu".....jifunze🤭Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
POPOMA ACHA UCHIZI, HUJUI HATA VIPINDI VYA MVUA NI MIEZI GANIGifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person.
Je, una lingine labda?
KIFUKU (KIMAKONDE) - MASIKA (KISWAHILI)Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku
Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.
Hiyo mvua itanyesha vipi?
Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
Kumbe huyu ni mwanangu mwenyewe Le Popomas, Bogas, Mamas, Kilaza, Pimbi, Kayumba, Mwajuma ndala ndefu MYCINE??POPOMA ACHA UCHIZI, HUJUI HATA VIPINDI VYA MVUA NI MIEZI GANI
Kwa hiyo jua ni dalili ya laana?Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
Hahahahaaa we jamaaaUnawasema wale ambao wanabadili ratiba ya chakula kutoka mchana kuwa usiku?
Achana nae kichaa huyu,anapenda attention sana..nina wasiwasi kule Saut Mwanza alienda kukua..mwalimu wake wa Jiografia anasikitika huko aliko.Wewe acha upumbavu, unataka waislamu, wafunge kwa kufuata mistari ya bibilia sasa utakua Uislamu huo.
Leo hii kanuni licha kuwa si za Kiislamu, bali hata kwenye bibilia hakuna kipengele kinachokuagiza wewe mfuasi, kufunga mwezi mzima bila kula.
Tatizo imani yako huifuatili, ila ukiusema Uislamu vibaya unajua yesu upo na yesu karibu.
Wewe jamaa mdini sana. Nia yako tumeiona kwenye badiko lako.Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Popoma ndiyo nini Ndugu? Nina ugeni na hili Neno hapa Jamiiforums tafadhali.POPOMA ACHA UCHIZI, HUJUI HATA VIPINDI VYA MVUA NI MIEZI GANI
Kumbe Waingereza wana neno Bogas kama ulivyoandika na siyo lile la Bogus ambalo Wordsmiths wengi tunalijua? Mkiambiwa acheni Kujitutumua Kuandika Kiingereza kama hamkijui hamsikii haya ona sasa Ulivyojichoresha hapa Wewe Hopeless Creature Jamvini.Kumbe huyu ni mwanangu mwenyewe Le Popomas, Bogas, Mamas, Kilaza, Pimbi, Kayumba, Mwajuma ndala ndefu MYCINE??
Basi itakuwa anamsumbua sana Mumewe huko alikoolewa.
Hahahaa! Sawa subiri mvua pasaka hiiPopoma ndiyo nini Ndugu? Nina ugeni na hili Neno hapa Jamiiforums tafadhali.
Unauliza Uvundo Dampo?Kwa hiyo jua ni dalili ya laana?
Bahati nzuri sina Elimu ya Chuo Kikuu na nashangaa unavyosema kuwa nimesoma sijui huko SAUT.Achana nae kichaa huyu,anapenda attention sana..nina wasiwasi kule Saut Mwanza alienda kukua..mwalimu wake wa Jiografia anasikitika huko aliko.