Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Wakristo wengi wako wakristo sababu wamezaliwa na wazazi wakristo, ila wengi hawana mafundisho juu ya Ukristo nini, na jinsi ya kuishi.

Pasaka kila mwaka inafanyika, Wiki ya pili ya mwezi wa nne.

Mwezi wa nne,kwa Dar ni kipindi cha mvua, lakini ukitaka kuona akili za huyu mwenye mada zinafikili karibu. Pasaka inaadhimishwa Duniani kote, ila kuna upande wa Dunia mwezi huu hawana mvua.
Hata hapa Tanzania tu baadhi ya maeneo yanashuhudia jua.
Mkuu why ujiteshe kumfundisha Pompoma elimu yote hii?

Usijipoteze muda wako bure
 
Kule Makao makuu {DOM},baada ya mawiki kadhaa ya ukame na jua pia na majoto ya kufa mtu....Jana siju ya IJUMAA KUU....muda wa jioni kama saa 17:45 hivi...MVUA laini ya rasharasha ilinyesha kwa muda wa dakika chache kiasi cha kutoa vumbi tu ikakatika.
Mtoa mada NAKUUNGA MKONO.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Dah....nadhani hata Mwalimu wako wa jiografia akiuona huu Uzi atakukana.....haujui hata majira yalivyo kulingana na mzunguko wa Dunia kwenye Muhimbili wake......hata hivyo hao walioleta hizi Imani....huko kwao...."siku za mvua" humaananisha "nyakati ngumu".....jifunze🤭
 
Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku

Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.

Hiyo mvua itanyesha vipi?

Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
KIFUKU (KIMAKONDE) - MASIKA (KISWAHILI)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa kwakweli,jana mvua imeonyesha kiubalozi kabisa. Walipo wakristo wengi imenyesha. Walipo waislam wengi ikapepea na upepo. Nadhani kuna hoja hapa, ukikuta mtaa ama tarafa imejaa uislamu mvua ni ile ya Nchi nzima.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe acha upumbavu, unataka waislamu, wafunge kwa kufuata mistari ya bibilia sasa utakua Uislamu huo.
Leo hii kanuni licha kuwa si za Kiislamu, bali hata kwenye bibilia hakuna kipengele kinachokuagiza wewe mfuasi, kufunga mwezi mzima bila kula.

Tatizo imani yako huifuatili, ila ukiusema Uislamu vibaya unajua yesu upo na yesu karibu.
Achana nae kichaa huyu,anapenda attention sana..nina wasiwasi kule Saut Mwanza alienda kukua..mwalimu wake wa Jiografia anasikitika huko aliko.
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Wewe jamaa mdini sana. Nia yako tumeiona kwenye badiko lako.
 
Kumbe huyu ni mwanangu mwenyewe Le Popomas, Bogas, Mamas, Kilaza, Pimbi, Kayumba, Mwajuma ndala ndefu MYCINE??
Basi itakuwa anamsumbua sana Mumewe huko alikoolewa.
Kumbe Waingereza wana neno Bogas kama ulivyoandika na siyo lile la Bogus ambalo Wordsmiths wengi tunalijua? Mkiambiwa acheni Kujitutumua Kuandika Kiingereza kama hamkijui hamsikii haya ona sasa Ulivyojichoresha hapa Wewe Hopeless Creature Jamvini.
 
Unaongelea kwa maeneo gani?? Maana Kuna sehemu nyingine duniani kwenye pasaka na krismas mvua hazinyeshi kabisaa

Halafu hapo kwenye kuanzia may 1 mvua inapigaga Sana mkuu
 
Achana nae kichaa huyu,anapenda attention sana..nina wasiwasi kule Saut Mwanza alienda kukua..mwalimu wake wa Jiografia anasikitika huko aliko.
Bahati nzuri sina Elimu ya Chuo Kikuu na nashangaa unavyosema kuwa nimesoma sijui huko SAUT.

Yawezekana Kichaa zaidi ukawa ni Wewe kwani ungekuwa na Akili kama Uzi hujaupenda ungeachana nao tu

Hivi Mtu akitaka attention hapa Jamiiforums kama unavyonihusisha nayo anapewa Tuzo au Pesa?

Kama Dawa yangu Kali ya Antibiotic ya MINOCYCLINE inayotibu pia Ubongo hafifu kama wako imekuingia vyema pole sana.
 
Back
Top Bottom