Unaogopa kutetea Imani yako?
Unaamini kwenye usichoweza kukitetea?
#YNWA
Kukaa kimya ndio kumtetea Mungu wako?Sometimes bora kukaa kimya kuliko kujiandama na walio vibarazan wenye mizaa
Kukaa kimya ndio kumtetea Mungu wako?
#YNWA
"Ikadula" ππ pure Mbeya material...Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku
Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.
Hiyo mvua itanyesha vipi?
Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
Wa wakristo au wa waislamu?βMungu wetuβ
Chizi karogwa tena.Abdur-rahman ndiyo Nani we qumer!!!..unajua hata unachokiandika!!?...mliotiwa vidole parokiani tangu wadogo mna shida Sana,hapo Kuna tundu la mwili linakuwasha
Wa wakristo au wa waislamu?
Maana wakristo wanasema "Mungu wao atachoma waislamu wotee kwa kuwa hawamuamini Yesu"
Waislamu ""Mungu atachoma Wakristo wote kwakuwa hawasadiki mafundisho ya Mtume Muhamed SAW""
#YNWA
Numb head,ndiyo maana unaabudu mamaliaUliongea kwa kujifanya ni jambo la kudhihaki, kukatwa govi ni jambo la muhimu kiafya
Ndio maana nakuuliza uthibitisho wa muhammad kakatwa govi uweke hapa?
Na kwa nini alikuwa anafuatilia wanawake Wana bleed anashindwa kuvumilia?
When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
Ila twende mbele na turudi nyuma,awe yeye asiwe yeye,jamaa ameupiga mwingi[emoji23]Huu mbona kama mcharazo wa Genta.?
Mbona binadamu karibu wote wanafunga usiku na kula mchana?Kufunga ni mchana,siyo usiku...anzisha dini yako mfunge usiku mule mchana
Yaani title tu ππππIla twende mbele na turudi nyuma,awe yeye asiwe yeye,jamaa ameupiga mwingi[emoji23]
Heaven Sent hivi umesoma heading ya Uzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nilicheka hadi nikakaa chiniYaani title tu ππππ
Bahati nzuri sina Elimu ya Chuo Kikuu na nashangaa unavyosema kuwa nimesoma sijui huko SAUT.
Yawezekana Kichaa zaidi ukawa ni Wewe kwani ungekuwa na Akili kama Uzi hujaupenda ungeachana nao tu
Hivi Mtu akitaka attention hapa Jamiiforums kama unavyonihusisha nayo anapewa Tuzo au Pesa?
Kama Dawa yangu Kali ya Antibiotic ya MINOCYCLINE inayotibu pia Ubongo hafifu kama wako imekuingia vyema pole sana.
Huyu Mtu mnamtaja sana hapa JamiiForums mara kwa mara je, ni nani halafu kwanini Wengi wenu mnampenda na mnamshobokea kupita Maelezo?Genta bhana.