Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

We mleta huu Uzi,Acha kuwa mbumbumbu.Kwani Hiyo mvua inaponyesha wakati wa Xmas na au Pasaka,kwani huwa inawanyeshea Wa-Kristo peke yao ? Wa-Islam hawapati Hiyo mvua ? Mungu Ni Mwema,Huwa Hana ubaguzi.Huinyesha mvua yake kwa wote.Kwa watu wa dini zote.Pia hata wenye dhambi(Waliomuasi Mungu) huipata na kuifaidi mvua yake.
 
Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku

Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.

Hiyo mvua itanyesha vipi?

Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
"Ikadula" 😂😂 pure Mbeya material...
 
“Mungu wetu”
Wa wakristo au wa waislamu?
Maana wakristo wanasema "Mungu wao atachoma waislamu wotee kwa kuwa hawamuamini Yesu"

Waislamu ""Mungu atachoma Wakristo wote kwakuwa hawasadiki mafundisho ya Mtume Muhamed SAW""

#YNWA
 
Wa wakristo au wa waislamu?
Maana wakristo wanasema "Mungu wao atachoma waislamu wotee kwa kuwa hawamuamini Yesu"

Waislamu ""Mungu atachoma Wakristo wote kwakuwa hawasadiki mafundisho ya Mtume Muhamed SAW""

#YNWA

Mungu hatahukumu dini, ataukumu watu... kama unaamin ktk dini jiangalie wewe kama wewe? Mungu haukumu kwa mafungu
 
Uliongea kwa kujifanya ni jambo la kudhihaki, kukatwa govi ni jambo la muhimu kiafya

Ndio maana nakuuliza uthibitisho wa muhammad kakatwa govi uweke hapa?

Na kwa nini alikuwa anafuatilia wanawake Wana bleed anashindwa kuvumilia?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
Numb head,ndiyo maana unaabudu mamalia
 
Pasaka iko dunia nzima. Hivi unadhani dunia nzima kuna mvua?😃😃😃😃

Tukisema mtoa mada huna akili tutakuwa tumekosea?
 
Huku kwa wazungu wenyewe mvua hamna na jua ndio limeanza kuwaka na wamejiachia uchi wote na pasaka hii
Nao unawasemea Vipi au nyie wa huko ndio mna baraka zaidi
Hujui sherehe hizo huwa zinajirudia kila mwaka?
Wakati za Kiislam zinabadilika kila mwaka?
Yaani Shari inatafutwa kwa kila njia
 
Genta bhana.
Bahati nzuri sina Elimu ya Chuo Kikuu na nashangaa unavyosema kuwa nimesoma sijui huko SAUT.

Yawezekana Kichaa zaidi ukawa ni Wewe kwani ungekuwa na Akili kama Uzi hujaupenda ungeachana nao tu

Hivi Mtu akitaka attention hapa Jamiiforums kama unavyonihusisha nayo anapewa Tuzo au Pesa?

Kama Dawa yangu Kali ya Antibiotic ya MINOCYCLINE inayotibu pia Ubongo hafifu kama wako imekuingia vyema pole sana.
 
Genta bhana.
Huyu Mtu mnamtaja sana hapa JamiiForums mara kwa mara je, ni nani halafu kwanini Wengi wenu mnampenda na mnamshobokea kupita Maelezo?

Natamani kumjua ili ikiwezekana anipe nami Hirizi yake ili nami niwe nakubalika na natajwa mno hapa Jamvini kisha niweze kuwa maarufu kama Yeye.
 
Back
Top Bottom