Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Halafu hata majira yabadilike vipi na pengine pasaka kuwa mwezi March badala ya April kama safari hii lakini ikiwadia Pasaka lazima mvua inyeshe.

Utukufu wa Mungu Jehova ni Mkuu mno!
 
Inaonekana umeshindwa kujua basic Geography ya dunia hasa suala la Tropic of Cancer na Capricorn
Huku kwetu ni Tropic of Capricorn na ni msimu wa mvua kuelekea Winter kwa kanda hii ya Kusini mwa Africa na maeneo mengine kama South America na Australia. Maeneo mengine ni kipindi cha Spring kuelekea Summer kwa ukanda wa Kaskazini kuanzia Asia, Middle East, Europe na North America ambapo jua kinakuwa kali zaidi.
Hata hivyo mzunguko wa kalenda ya ki-Islam (Hijri Calendar) ni siku 11 pungufu ya Gregorian Calendar inayotumika kimataifa isipokuwa Ethiopia na China ambao pia wana calendar zao tofauti na hiyo Gregorian
Kwa maana hiyo kwa miaka 35 kuna mzunguko ambapo muislam popote alipo duniani atafunga kwa majira tofauti kwa kipindi cha uhai wake
Hapa Tanzania tumeshasherehea Krismas na Pasaka kwa kufuatana na sikukuu za Idd kama inavyoweza kutokea mwaka 2023 kwa kuwa Ramadhan itaanza March 22-24 kwa maana hiyo Idd itakuwa April 21-22 kipindi cha masika na Pasaka itakuwa April 9 ambapo kwa mwaka huu mvua zilikuwa hazijaanza
Kwa nchi nyingine huko Northern Tropic of Cancer kwa sasa pamoja na kuwa ni Pasaka hakuna hiyo mvua ambayo unaihusisha nayo
 
Halafu hata majira yabadilike vipi na pengine pasaka kuwa mwezi March badala ya April kama safari hii lakini ikiwadia Pasaka lazima mvua inyeshe.

Utukufu wa Mungu Jehova ni Mkuu mno!
Mvua inanyesha Tanganyika kabla kanisa halijaja
 
Hebu lete hiyo habari ndani ya Qur'an tuone
Mutah boy, Koran ni kakitabu hakafiki ata index ya Biblia ,nimekakariri chote na plus Hadith maelfu na tafsir za kutosha
Usitoke nje ya mada
Tunajadili govi la muhammad na anapitia wanawake wapo bleed alikuwa anamatatizo gani?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
 
Usirudie tena kujifanya unamtaja Yesu kwa dhihaka , nitakuweka panapo staili
Mmmmhhhh!!!...mbuzi katoliki,kukatwa govi nimesema Mimi au biblia!?...unaona dhihaka!!!..ndiyo ukweli,mungu wako alikua na govi
 
Mmmmhhhh!!!...mbuzi katoliki,kukatwa govi nimesema Mimi au biblia!?...unaona dhihaka!!!..ndiyo ukweli,mungu wako alikua na govi
Uliongea kwa kujifanya ni jambo la kudhihaki, kukatwa govi ni jambo la muhimu kiafya

Ndio maana nakuuliza uthibitisho wa muhammad kakatwa govi uweke hapa?

Na kwa nini alikuwa anafuatilia wanawake Wana bleed anashindwa kuvumilia?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
 
Seriously?
Alafu unajiita "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person." ?

What the hell?
 
Kwahiyo mvua huwa inanyesha dunia nzima? Au kwa ambao wapo msimu wa mvua[emoji23] make kwanza hapo ncheke
 
uchokozi tu

akili finyu

tazama majira ya mwaka na hizo sikukuu unazozisemea

wewe utakuwa bonge nyanya kama yule mume aliyeambiwa na mamake usitoke nje…

siyo kila akili ni ya kuanzisha uzi, wengine tubaki wasomaji tu

some time kukaa kimya kunasaidia kuficha ujinga
 
Wakristo wengi wako wakristo sababu wamezaliwa na wazazi wakristo, ila wengi hawana mafundisho juu ya Ukristo nini, na jinsi ya kuishi.

Pasaka kila mwaka inafanyika, Wiki ya pili ya mwezi wa nne.

Mwezi wa nne,kwa Dar ni kipindi cha mvua, lakini ukitaka kuona akili za huyu mwenye mada zinafikili karibu. Pasaka inaadhimishwa Duniani kote, ila kuna upande wa Dunia mwezi huu hawana mvua.
Hata hapa Tanzania tu baadhi ya maeneo yanashuhudia jua.
Mbona ume attack wakristo?
Huamini kwenye wanachoamini?

#YNWA
 
Back
Top Bottom