Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

Mkuu, mpaka sasa hakuna maridhiano yaliyofanyika Rwanda. Kilichofanyika kule ni total social/ ethnic incrimination.
Victims have turned out to become oppressors.
Wale nao ni time bomb.
 
Rais wa JMT ana mamlaka makubwa kuliko rais wa SMZ.
Uchunguzi hauko hivyo....you need to identify the dimension of the scene first.Ndio mana kuna wenyeviti wa mtaa ambao jambo linapotukia huamza na hao kabla ya kumtaja Rais wa nchi...ni mfano mdogo tuu wa kuonyesha ranking za kiutawala
 
Jibu rahisi tu,system iliyomuua na iliyofsidika na kifo chake,Bado ipo Madarakani.
Mauaji ya kisiasa hufanyika sana,pale Kenya,Robert ouko,Tom mboya,waliuliwa na Idara ya ujasusi ya Kenya,special branch kipindi Cha Raisi Kenyata,huo ukweli hauwezi kuwekwa wazi kabisa,kwa sababu madhara yake yanaweza kuwa makubwa sana,Inahitaji,umakini sana kuweka wazi madhira na mauaji ya kisiasa yaliyofanywa na tawala zilizopita,wakati mwingine,kwa usalama wa nchi,na nchi ibaki moja,mambo mengine Bora yafichwe tu,
 
Sio kila Mambo yanayotokea ndani ya nchi yanatakiwa kuwekwa wazi.
Kuna Jambo linaweza kutekelezwa lakn hata waziri mkuu asijue .

Hebu niambie Hilo unalo hoji Lina maslahi gani kwako na kikazi kilichopo au kijacho?

Kuna mengne yanatokea ili kuepusha madhara kwa waliowengi
 
Kumbe ni story za kijiweni D/cpl. Unashindwa kufanya ukachero wako? Uditective wako ni upi sasa?

Kitendee haki cheo chako.
D/cpl uchwara na usikute hajui hata maana ya jina analojiita.
 
Kwa nini mataifa yaliyoendela huko Ulaya na Marekani hawana haya mambo?!
 
Waliouawa ni wengi. Hata Othman Sharif aliyekuwa Makamu wa Rais wa ASP aliuawa. Wako na wengine wengi na hakuna maelezo hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…