Kwanini usianze kumtaja kwanza wa huko?Rais wa JMT hana mamlaka Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usianze kumtaja kwanza wa huko?Rais wa JMT hana mamlaka Zanzibar?
Mkuu, mpaka sasa hakuna maridhiano yaliyofanyika Rwanda. Kilichofanyika kule ni total social/ ethnic incrimination.Niliwahi kusoma sehemu Fulani kuwa hata familia yake hawajui kaburi la mpendwa wao !😣
Ni kweli?
Kama ndivyo Zanzibar kunahitaji Maridhiano kama walivyofaanya / wanavyofanya Rwanda...la sivyo makovu kwenyee mioyo ya wengi ni hatari kwa Utaifa wao!
Walifumua kitambi ukatoka urojoKarume "alimpoteza" Kassim Hanga na yeye watu "wakamshugulikia"...malipo ni hapahapa duniani
Kwani hukufuatilia risasi ililenga wapi mkuu?We jamaa una akili timamu?
Nyerere alimkabidhi kwa Karume. Alijuwa “fate” yake…Hata kaburi lake halijulikani lilipo! Lakini Nyerere utakuwa unamuonea, hapo wa kubanwa ni Abeid Karume
Uchunguzi hauko hivyo....you need to identify the dimension of the scene first.Ndio mana kuna wenyeviti wa mtaa ambao jambo linapotukia huamza na hao kabla ya kumtaja Rais wa nchi...ni mfano mdogo tuu wa kuonyesha ranking za kiutawalaRais wa JMT ana mamlaka makubwa kuliko rais wa SMZ.
Jibu rahisi tu,system iliyomuua na iliyofsidika na kifo chake,Bado ipo Madarakani.Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuwawa wapi.
Je ni kwa nini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?
Do your homeworkFafanua.
We jamaa ni king'ang'anizi tuuu, kipindi anauwawa kuna kitu kilikuwa kinaitwa TanzaniaRais wa JMT hana mamlaka Zanzibar mauaji yakitokea?
Sio kila Mambo yanayotokea ndani ya nchi yanatakiwa kuwekwa wazi.Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuwawa wapi.
Je ni kwa nini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?
D/cpl uchwara na usikute hajui hata maana ya jina analojiita.Kumbe ni story za kijiweni D/cpl. Unashindwa kufanya ukachero wako? Uditective wako ni upi sasa?
Kitendee haki cheo chako.
Kwa nini mataifa yaliyoendela huko Ulaya na Marekani hawana haya mambo?!Jibu rahisi tu,system iliyomuua na iliyofsidika na kifo chake,Bado ipo Madarakani.
Mauaji ya kisiasa hufanyika sana,pale Kenya,Robert ouko,Tom mboya,waliuliwa na Idara ya ujasusi ya Kenya,special branch kipindi Cha Raisi Kenyata,huo ukweli hauwezi kuwekwa wazi kabisa,kwa sababu madhara yake yanaweza kuwa makubwa sana,Inahitaji,umakini sana kuweka wazi madhira na mauaji ya kisiasa yaliyofanywa na tawala zilizopita,wakati mwingine,kwa usalama wa nchi,na nchi ibaki moja,mambo mengine Bora yafichwe tu,
Sasa mbona umehusisha na mapinduzi ya 19631969
Nasikikia Karume alikuwa Bedui sanaHata kaburi lake halijulikani lilipo! Lakini Nyerere utakuwa unamuonea, hapo wa kubanwa ni Abeid Karume
Ntajulia wapi mimi.Unajua kusoma kaka?
Waliouawa ni wengi. Hata Othman Sharif aliyekuwa Makamu wa Rais wa ASP aliuawa. Wako na wengine wengi na hakuna maelezo hadi leo.Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuawa wapi.
Je, ni kwanini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?