Swali fiikirishi hilo. Tunasubiri majibu kutoka kwa viongoziMnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Kama ambavyo Wazanzibari hawataki kuongozwa na Watanganyika.Tanganyika hatutaki kuongozwa na wazanzibari
Ni ngumu kukuelewa mkuu..waache tuMwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
wakikujibu njoo niue nimekaa paleeee, juzi makamu wao wa rais anasema nirahisi kuwa mtanzania lakini sio kuwa mzanzibari, na yule bwabwa tena akazungumza bungeni kwamba nyie Tanganyika muingie kwao na pasport kabisa, aisee kuna mambo yanafikirisha sana nchi hiyo.Tulimaliza huu mjadala kwa kusema katika huu Muungano Zanzibar ndio yenye sauti na ndio inaitawala Tanganyika. Nyerere alizidiwa akili kwenye hilo.
Wanao neemeka na muungano huu ni wazanzibari pekee, Watanganyika kutwa kulia lia tu kwenye mitandao tu. Hakuna lolote mtafanya, nikipata madaraka ya uraisi angalau siku moja jambo ambalo nitafanya katika hiyo siku ni kuvunja huu Muungano uchwara.
We ndio punguani unayeishi kwa kukaririshwa, kwani wewe huwezi kung'amua kwa utashi wako baya na zuri?!.Huo upumbavu mtafurahie nyie punguani,usinihusishe na mambo ya kijinga
jana M23 wamechukua mji muhimu unaochimba madini muhimu ya neckel!!Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Hivi mbunge aliyesema kuingia na pasipoti ni wa Jimbo la visiwani?wakikujibu njoo niue nimekaa paleeee, juzi makamu wao wa rais anasema nirahisi kuwa mtanzania lakini sio kuwa mzanzibari, na yule bwabwa tena akazungumza bungeni kwamba nyie Tanganyika muingie kwao na pasport kabisa, aisee kuna mambo yanafikirisha sana nchi hiyo.
Ndio ndioHivi mbunge aliyesema kuingia na pasipoti ni wa Jimbo la visiwani?
Unahoji mkuu wa wilaya, rais je?Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Kwa hiyo Dr. Umeamua kuchochea moto?
Hamna Mimi Sihusiki Naupenda Sana muungano..Kwa hiyo Dr. Umeamua kuchochea moto?
Usisahau Karume katoka Malawi 🇲🇼Mwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
Na wazanzibari hawataki kuongozwa na wamkuranga.Tanganyika hatutaki kuongozwa na wazanzibari
Tatizo la Lissu anaongea kisomi!Kama Kuna mtu anaweza kumjibu Lissu Video hii hapa ajibu
View attachment 2978870
[emoji16][emoji16]Mwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
Tanganyika ni kubwa sana, imelazimu kuwaomba Wazanzibari kuja kusaidia kuongoza baadhi ya wilaya. Maeneo ya utawala ni mengi kuliko idadi ya Watanganyika waliopo nchini.Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Ilibidi wachanganye damu sio mchanga.🤣🤣🤣[emoji16][emoji16]
Aloo huu muungano huu ni wa mchanga sio wa watu.