jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Asilimia 99(99%), ya watu ambao hawanaga machogo hawanaga akili. Hii ni research ilifanyika kabisa, ndo maana siku hizi wazanzibar wameshtuka hawabamizi tena watoto ukutani kuondoa chogo wakizaliwa..Machogo hamjasema bado, mpaka mseme.
Huu muungano wa kishirikina wananufaika vioñgozi wa ccm tu, solution ni kuiondowa ccm kwanza.