Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wameandika hivyo maana wangesema wabara huenda wangekwenda kunyanyasika sana huko, hii ndiyo inathibitisha wao ni wabaguzi kupindukia
Ni maeneo gani? Kilosa hiyo hiyo anayohudumu huku Mzanzibar Shaka.?Kuna mashamba yanaporwa Kilosa kwa wananchi kwa kisingizio ati Rais amewapa wawekezaji kumbe ni wao, imagine mtu mmoj anagawia ekari 200+ tena chini ya bunduki, je hiyo nguvu ina nani nyuma yake
Nenda kawasikilize wananchi wa kijiji cha Mabana, Magole, Mateteni nk serikali iliunda tume uchwara kwenda kutishia watu na kuwapora ardhi if you want to dig more nenda wakuambie walichofanyiwa ndiyo utaelewaNi maeneo gani? Kilosa hiyo hiyo anayohudumu huku Mzanzibar Shaka.?
Choice .......umekasirika 😀 😀 😀Huo upumbavu mtafurahie nyie punguani,usinihusishe na mambo ya kijinga
Jamaa aliongea ukweli sana,mfano hapo Wabunge wametoka 54 kwa sasa ni 80.Hao wote wa nini huku wananchi wa Zanzibar ni laki 5 tu??
Sema wenye shida ya muungano ni Wana CCM wa Zanzibar na viongozi labda.watanganyika Kenya,Uganda,Burundi,msumbiju,Kongo ni muhimu.tuambia faida gani kwa watanganyika wanapata?mwambieni mama Kizimkazi avunje muungano tumewapa fursa kwa mara nyingine.na Kama mwinyi ni mkuranga tufanye butter trade wa maana Sana mwinyi.Unaweza Dhani wenye shida na Muungano ni Wazanzibar kumbe ni Bara [emoji16][emoji16]
Okello alikuwa mganda sio Mkenya na alilitwa na Nyerere.Nyerere aliona bora Mmalawi Karume kuliko Mkenya Okello.
Nani alikuwambia Dr.Hussen ni Raia wa Mkuranga.Dr.Hussen ni raia wa kuzaliwa wa Zanzibar.Raisi wa Zanzibar wa sasa, Dr. Hussein Mwinyi ni raia wa wilaya ya Mkuranga na baba yake aliamuru akifa azikwe Mkuranga wakaona aibu(karma itawalipa). Ila point yako imeeleweka vizuri, huu muungano ni feki hata wao wanajua tu.
Hakuna Wazanzibar asili wote ni wakuja.Hata huyo Shaka ukimfuatilia utakuta kuwa wamekuja zenji baada ya mapinduzi. CCM zanzibar, 98% ni watu wenye asili ya bara. Wazanzibari asili wamekataa kabisa masuala ya muungano ndio maana kila kukicha tunaletewa jeshi na nyimbo ya mapinduzxi daima.
Zenj, inawatu milioni tatu tu! Bara kuna 50M, hata ukiwachukua wazenj wote, ukawapa eneo la chalinze! Au, wilaya moja ya Kyelwa!Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Huko kuwapendelea wanachukua nafasi za satu wa Tanganyika.. Kuna wizara ambazo hazihusiani na mambo ya muungano kwanini wapewe wazanzibar?Zenj, inawatu milioni tatu tu! Bara kuna 50M, hata ukiwachukua wazenj wote, ukawapa eneo la chalinze! Au, wilaya moja ya Kyelwa!
Hutaona tofauti,zenj ni koroni la Bara, it's geopolitical property, ki elimu wapo nyuma,ukiwashindanisha na Bara, hawawezi, kupata kitu, lazima uwapendelee kidogo!
China haishindani na taiwan, au Hong Kong! Au, Spain na Catalonia,
Aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga kwa kipindi kimojaMwinyi wa Mkuranga ni Rais wa Zanzibar.
NAONA UWAKI SANAMnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
View attachment 2978848
Huu ni upotoshaji. 99% ya hao viongozi ni watu wa bara. Hao wote ukiangali ni watu waliokuja huku wakati wa mapindyzi na wapo huku na kule.Uporaji wa Ardhi na maeneo unaofanywa na Viongozi wa Asili ya Zanzibar walioteuliwa huku Tanganyika nani yupo Nyuma ya mpango huu wa Udalali?
Inasemekana asili yake ni Kongo siyo Malawi!Nyerere aliona bora Mmalawi Karume kuliko Mkenya Okello.