Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

Kuna mashamba yanaporwa Kilosa kwa wananchi kwa kisingizio ati Rais amewapa wawekezaji kumbe ni wao, imagine mtu mmoj anagawia ekari 200+ tena chini ya bunduki, je hiyo nguvu ina nani nyuma yake
 
Kuna mashamba yanaporwa Kilosa kwa wananchi kwa kisingizio ati Rais amewapa wawekezaji kumbe ni wao, imagine mtu mmoj anagawia ekari 200+ tena chini ya bunduki, je hiyo nguvu ina nani nyuma yake
Ni maeneo gani? Kilosa hiyo hiyo anayohudumu huku Mzanzibar Shaka.?
 
Ni maeneo gani? Kilosa hiyo hiyo anayohudumu huku Mzanzibar Shaka.?
Nenda kawasikilize wananchi wa kijiji cha Mabana, Magole, Mateteni nk serikali iliunda tume uchwara kwenda kutishia watu na kuwapora ardhi if you want to dig more nenda wakuambie walichofanyiwa ndiyo utaelewa
 
Bara Haina serikali so yeyote anaweza kuingia na kuongoza!!
Hata watu wa nchi jirani wamo kwamaana hatuna serikali yenye wivu na ardhi ya Tanganyika!!
 
Unaweza Dhani wenye shida na Muungano ni Wazanzibar kumbe ni Bara [emoji16][emoji16]
Sema wenye shida ya muungano ni Wana CCM wa Zanzibar na viongozi labda.watanganyika Kenya,Uganda,Burundi,msumbiju,Kongo ni muhimu.tuambia faida gani kwa watanganyika wanapata?mwambieni mama Kizimkazi avunje muungano tumewapa fursa kwa mara nyingine.na Kama mwinyi ni mkuranga tufanye butter trade wa maana Sana mwinyi.
 
Raisi wa Zanzibar wa sasa, Dr. Hussein Mwinyi ni raia wa wilaya ya Mkuranga na baba yake aliamuru akifa azikwe Mkuranga wakaona aibu(karma itawalipa). Ila point yako imeeleweka vizuri, huu muungano ni feki hata wao wanajua tu.
Nani alikuwambia Dr.Hussen ni Raia wa Mkuranga.Dr.Hussen ni raia wa kuzaliwa wa Zanzibar.
 
Hata huyo Shaka ukimfuatilia utakuta kuwa wamekuja zenji baada ya mapinduzi. CCM zanzibar, 98% ni watu wenye asili ya bara. Wazanzibari asili wamekataa kabisa masuala ya muungano ndio maana kila kukicha tunaletewa jeshi na nyimbo ya mapinduzxi daima.
Hakuna Wazanzibar asili wote ni wakuja.
 
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?

View attachment 2978848
Zenj, inawatu milioni tatu tu! Bara kuna 50M, hata ukiwachukua wazenj wote, ukawapa eneo la chalinze! Au, wilaya moja ya Kyelwa!
Hutaona tofauti,zenj ni koroni la Bara, it's geopolitical property, ki elimu wapo nyuma,ukiwashindanisha na Bara, hawawezi, kupata kitu, lazima uwapendelee kidogo!
China haishindani na taiwan, au Hong Kong! Au, Spain na Catalonia,
 
Huko kuwapendelea wanachukua nafasi za satu wa Tanganyika.. Kuna wizara ambazo hazihusiani na mambo ya muungano kwanini wapewe wazanzibar?

Hatufanyi vitu kwa kuoneana huruma wala kupendelea Nchi haiwezi kuongozwa kwa mahaba na huruma ambayo haipo kikatiba au Katika maridhiano ya Muungano
Na tumepokea taarifa shaka hamdu shaka ananyanganya maeneo ya watu morogoro , anakwapua maeneo amekuwa dalali wa wafu wa Zanzibar siku zake/zao zinahesabika...
 
Uporaji wa Ardhi na maeneo unaofanywa na Viongozi wa Asili ya Zanzibar walioteuliwa huku Tanganyika nani yupo Nyuma ya mpango huu wa Udalali?
Huu ni upotoshaji. 99% ya hao viongozi ni watu wa bara. Hao wote ukiangali ni watu waliokuja huku wakati wa mapindyzi na wapo huku na kule.
 
Sifa zinazohitaji
Bara mtanzania yoyote ana haki ndani ya Tanganyika (mzanzibar ni mtanzania) lakn ZANZIBAR huko sifa kuu ya kaz uwe mzanzibar mtanganyik sio mzanzibar

wanzabar wote ni wa Tanzania pia.
HAkuna raia wanaitwa watanganyika kikatba (watanganyik n watanzAnia) kam umesoma hesabu za seti utaelew chapu
 
Back
Top Bottom