GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Rubbish and Nonsensical.Wewe ni MPUMBAVÚ na kama umesoma basi hujaelimika.
Kimsingi wewe ndio wale watu mna mentality za kwamba kusoma sana ndio kuwa na hela ndio maana unaona ajabu asiyesoma kumzidi mafanikio aliyesoma
Floyd Mayweather Jr hata kusoma ni changamoto
Unamjua Simion Cowell
Richard Branson
List ya mabilioni wa dunia imejaa vilaza ambao ama hawakufika elimu ya juu au wali drop-out kwa sababu mbali mbali
Hakuna mwalimu mkuu yeyote wa secondary school anayefikia maisha ya Diamondpltnumz kimafanikio
Mafanikio ni jinsi utakavyo zichanga karata za maisha yako bila kujali elimu yako
Hujiulizi kwanini hata nikiwa BANNED bado najadiliwa Kutwa hapa JamiiForums na nikirejea Jamvi linaanza Kuchangamka?Popoma kama kawaida yake alishapigwa ban ...nilijua tu kwa huu uzi hawezi kutoboa
Una Hela na Umaarufu wa kumzidi? Tuanzie hapa Kwanza...!Sasa doto magari ana nini cha maana anachomiliki?
Hongera sana Gentamycine kwa kuangalia hilo kwa jicho la tatu. 95% right!Duh!
Mtoto wa mama kizimkazi.Na Hapa Ipo...!
Very true naona tatizo ni mfumo wa elimu yetu unamjenga mtu kuajiriwa na wale waliojiajiri jamii yetu huwadharau na kuonekana kama wamefeli maisha au hawana elimu au hawaajiriki,hadi utoboe na ufike level fulani ndio utaheshimika1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo
5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini au Majumbani na hatutaki Kusaiia wasiosoma
6. Wasomi wengi nje ya kupata Vidigrii, Vimasta na Vipihechidii vyetu tunajiona tumeshayapatia Maisha
7. Wasomi wengi licha ya Kusoma Kwetu ila bado tu Ushamba na Ulimbukeni kuliko hata wale Wasiosoma
Kama kuna Mtu ( mwana JamiiForums ) ambaye anavutiwa na Nyodo na Dharau zote azifanyazo Dotto Magari nadhani GENTAMYCINE ni namba moja. Kudadadeki acheni tu Jamaa atunyooshe Wasomi kwani ALIDHARAULIKA, ALITENGWA, ALITUKANWA, ALIFITINIWA, ALISINGIZIWA UWONGO ALICHUKIWA na hadi kuambiwa ATAKUFA MASIKINI ila leo kawazidi mbali mno Wote waliokuwa wakimfanyia haya Mambo.
Namalizia kwa kusema BINADAMU TUTAPANGIANA MAISHA ILA MWENYEZI MUNGU HAPANGIWI NA ANAMBARIKI YULE AMTAKAE MUDA NA WAKATI WOWOTE PASIPO KUANGALIA MADHAIFU YAKE AMBAYO WANADAMU WANAMUHUKUMU NAYO. Na sijui kwanini Mwenyezi Mungu HUWABARIKI PAKUBWA WALE AMBAO WANAONEKANA ni reject katika Society na Family.
Safi sana Dotto Magari endelea tu KUTUNYOOSHA Baba kwa NYODO zako Sisi Wasomi hadi Akili zetu zikae sawa sawa.
Mimi sio Gentamycine.Hongera sana Gentamycine kwa kuangalia hilo kwa jicho la tatu. 95% right!
Gentamicin wewe ni PHD holder??1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo
5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini au Majumbani na hatutaki Kusaiia wasiosoma
6. Wasomi wengi nje ya kupata Vidigrii, Vimasta na Vipihechidii vyetu tunajiona tumeshayapatia Maisha
7. Wasomi wengi licha ya Kusoma Kwetu ila bado tu Ushamba na Ulimbukeni kuliko hata wale Wasiosoma
Kama kuna Mtu ( mwana JamiiForums ) ambaye anavutiwa na Nyodo na Dharau zote azifanyazo Dotto Magari nadhani GENTAMYCINE ni namba moja. Kudadadeki acheni tu Jamaa atunyooshe Wasomi kwani ALIDHARAULIKA, ALITENGWA, ALITUKANWA, ALIFITINIWA, ALISINGIZIWA UWONGO ALICHUKIWA na hadi kuambiwa ATAKUFA MASIKINI ila leo kawazidi mbali mno Wote waliokuwa wakimfanyia haya Mambo.
Namalizia kwa kusema BINADAMU TUTAPANGIANA MAISHA ILA MWENYEZI MUNGU HAPANGIWI NA ANAMBARIKI YULE AMTAKAE MUDA NA WAKATI WOWOTE PASIPO KUANGALIA MADHAIFU YAKE AMBAYO WANADAMU WANAMUHUKUMU NAYO. Na sijui kwanini Mwenyezi Mungu HUWABARIKI PAKUBWA WALE AMBAO WANAONEKANA ni reject katika Society na Family.
Safi sana Dotto Magari endelea tu KUTUNYOOSHA Baba kwa NYODO zako Sisi Wasomi hadi Akili zetu zikae sawa sawa.
Nina Degree yangu moja tu ya SAUT Mwanza ya mwaka 2009 ya Mass Communication ( nikibobea sana katika Print Media ), ila nashangaa kwanini Mwenyezi Mungu kanipa Uelewa mkubwa na Akili nyingi kiasi kwamba kuna Watu hapa JamiiForums na hata huku Mtaani wanadhani nina PhD ( Doctorate ) wakati hata Masters tu sina na wala hiyo Doctrate ( PhD ) sina mpango wa Kuisoma.Gentamicin wewe ni PHD holder??
SawaNina Degree yangu moja tu ya SAUT Mwanza ya mwaka 2009 ya Mass Communication ( nikibobea sana katika Print Media ), ila nashangaa kwanini Mwenyezi Mungu kanipa Uelewa mkubwa na Akili nyingi kiasi kwamba kuna Watu hapa JamiiForums na hata huku Mtaani wanadhani nina PhD ( Doctorate ) wakati hata Masters tu sina na wala hiyo Doctrate ( PhD ) sina mpango wa Kuisoma.
Kwa Upuuzi ulioko Simba SC, mapungufu yasiyovumilika ya Waamuzi na Unafiki wa TFF and TPLB naiona Yanga SC kuwa Mabingwa tena Msimu ujao.Sawa
Unaniona wapi Yanga msimu ujao??,itafanikiwa zaidi ya hapa ilipofanikiwa??
Aliyekuambia na Kukudanganya kuwa Uswazi hakuna Matajiri au hawakai Matajiri ni nani? Mkiwambiwa Majuha mnanuna.yule ni comedian hana huo utajiri hausemao mbona anakaa uswazi
Kwani dacta mwakyembe anasemaje/alisemaje 😊😊Msomi- hawezi kuwa na dharau ikiwa kweli kasoma na kuelimika .
Kwani dacta mwakyembe anasemaje/alisemaje 😊😊
Anasema mtu sie nyau...! 🤣Mtoto wa mama kizimkazi.
Maisha ya "katalism" Mwenye degree anamsikiliza mwenye zero.
Ukihitajika utaitwa.
Mtu sio nyau.
Mganga Mungu mitishamba imani.
Huna baya kama nyamwiga.
Asiofaa kafaa.
Wema Akiba.
Big up sana "infolensa" Dotto Magari Mtoto wa mama kizimkazi ,na hapa ipo.
Halafu anamalizia kwa kusema; ''Toka hapa hilooo na meno yako ya kuungua''Anasema mtu sie nyau...! 🤣