Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

Wewe ni MPUMBAVÚ na kama umesoma basi hujaelimika.
Kimsingi wewe ndio wale watu mna mentality za kwamba kusoma sana ndio kuwa na hela ndio maana unaona ajabu asiyesoma kumzidi mafanikio aliyesoma

Floyd Mayweather Jr hata kusoma ni changamoto
Unamjua Simion Cowell
Richard Branson
List ya mabilioni wa dunia imejaa vilaza ambao ama hawakufika elimu ya juu au wali drop-out kwa sababu mbali mbali

Hakuna mwalimu mkuu yeyote wa secondary school anayefikia maisha ya Diamondpltnumz kimafanikio

Mafanikio ni jinsi utakavyo zichanga karata za maisha yako bila kujali elimu yako
Rubbish and Nonsensical.
 
Popoma kama kawaida yake alishapigwa ban ...nilijua tu kwa huu uzi hawezi kutoboa
Hujiulizi kwanini hata nikiwa BANNED bado najadiliwa Kutwa hapa JamiiForums na nikirejea Jamvi linaanza Kuchangamka?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki.....!!
 
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma

2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma

3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha

4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo

5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini au Majumbani na hatutaki Kusaiia wasiosoma

6. Wasomi wengi nje ya kupata Vidigrii, Vimasta na Vipihechidii vyetu tunajiona tumeshayapatia Maisha

7. Wasomi wengi licha ya Kusoma Kwetu ila bado tu Ushamba na Ulimbukeni kuliko hata wale Wasiosoma

Kama kuna Mtu ( mwana JamiiForums ) ambaye anavutiwa na Nyodo na Dharau zote azifanyazo Dotto Magari nadhani GENTAMYCINE ni namba moja. Kudadadeki acheni tu Jamaa atunyooshe Wasomi kwani ALIDHARAULIKA, ALITENGWA, ALITUKANWA, ALIFITINIWA, ALISINGIZIWA UWONGO ALICHUKIWA na hadi kuambiwa ATAKUFA MASIKINI ila leo kawazidi mbali mno Wote waliokuwa wakimfanyia haya Mambo.

Namalizia kwa kusema BINADAMU TUTAPANGIANA MAISHA ILA MWENYEZI MUNGU HAPANGIWI NA ANAMBARIKI YULE AMTAKAE MUDA NA WAKATI WOWOTE PASIPO KUANGALIA MADHAIFU YAKE AMBAYO WANADAMU WANAMUHUKUMU NAYO. Na sijui kwanini Mwenyezi Mungu HUWABARIKI PAKUBWA WALE AMBAO WANAONEKANA ni reject katika Society na Family.

Safi sana Dotto Magari endelea tu KUTUNYOOSHA Baba kwa NYODO zako Sisi Wasomi hadi Akili zetu zikae sawa sawa.
Very true naona tatizo ni mfumo wa elimu yetu unamjenga mtu kuajiriwa na wale waliojiajiri jamii yetu huwadharau na kuonekana kama wamefeli maisha au hawana elimu au hawaajiriki,hadi utoboe na ufike level fulani ndio utaheshimika
Mtu akivaa suti na tai anaonekana ni msomi na kafanikiwa hata kama hana kitu, ila yule mwenye shamba la mpunga anayeshinda shambani anadharaulika
 
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma

2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma

3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha

4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo

5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini au Majumbani na hatutaki Kusaiia wasiosoma

6. Wasomi wengi nje ya kupata Vidigrii, Vimasta na Vipihechidii vyetu tunajiona tumeshayapatia Maisha

7. Wasomi wengi licha ya Kusoma Kwetu ila bado tu Ushamba na Ulimbukeni kuliko hata wale Wasiosoma

Kama kuna Mtu ( mwana JamiiForums ) ambaye anavutiwa na Nyodo na Dharau zote azifanyazo Dotto Magari nadhani GENTAMYCINE ni namba moja. Kudadadeki acheni tu Jamaa atunyooshe Wasomi kwani ALIDHARAULIKA, ALITENGWA, ALITUKANWA, ALIFITINIWA, ALISINGIZIWA UWONGO ALICHUKIWA na hadi kuambiwa ATAKUFA MASIKINI ila leo kawazidi mbali mno Wote waliokuwa wakimfanyia haya Mambo.

Namalizia kwa kusema BINADAMU TUTAPANGIANA MAISHA ILA MWENYEZI MUNGU HAPANGIWI NA ANAMBARIKI YULE AMTAKAE MUDA NA WAKATI WOWOTE PASIPO KUANGALIA MADHAIFU YAKE AMBAYO WANADAMU WANAMUHUKUMU NAYO. Na sijui kwanini Mwenyezi Mungu HUWABARIKI PAKUBWA WALE AMBAO WANAONEKANA ni reject katika Society na Family.

Safi sana Dotto Magari endelea tu KUTUNYOOSHA Baba kwa NYODO zako Sisi Wasomi hadi Akili zetu zikae sawa sawa.
Gentamicin wewe ni PHD holder??
 
Gentamicin wewe ni PHD holder??
Nina Degree yangu moja tu ya SAUT Mwanza ya mwaka 2009 ya Mass Communication ( nikibobea sana katika Print Media ), ila nashangaa kwanini Mwenyezi Mungu kanipa Uelewa mkubwa na Akili nyingi kiasi kwamba kuna Watu hapa JamiiForums na hata huku Mtaani wanadhani nina PhD ( Doctorate ) wakati hata Masters tu sina na wala hiyo Doctrate ( PhD ) sina mpango wa Kuisoma.
 
Tuambie mafanikio yake mkuu ni yapi. au umaarufu wa mitandaoni ndio tafsiri ya mafanikio? sio mbaya ukatuambia an kipato chake kwa mwezi na miradi aliyo nayo
 
Nina Degree yangu moja tu ya SAUT Mwanza ya mwaka 2009 ya Mass Communication ( nikibobea sana katika Print Media ), ila nashangaa kwanini Mwenyezi Mungu kanipa Uelewa mkubwa na Akili nyingi kiasi kwamba kuna Watu hapa JamiiForums na hata huku Mtaani wanadhani nina PhD ( Doctorate ) wakati hata Masters tu sina na wala hiyo Doctrate ( PhD ) sina mpango wa Kuisoma.
Sawa

Unaniona wapi Yanga msimu ujao??,itafanikiwa zaidi ya hapa ilipofanikiwa??
 
Kwa Upuuzi ulioko Simba SC, mapungufu yasiyovumilika ya Waamuzi na Unafiki wa TFF and TPLB naiona Yanga SC kuwa Mabingwa tena Msimu ujao.
 
yule ni comedian hana huo utajiri hausemao mbona anakaa uswazi
 
Aliyekuambia na Kukudanganya kuwa Uswazi hakuna Matajiri au hawakai Matajiri ni nani? Mkiwambiwa Majuha mnanuna.
 
Mtoto wa mama kizimkazi.

Maisha ya "katalism" Mwenye degree anamsikiliza mwenye zero.

Ukihitajika utaitwa.

Mtu sio nyau.

Mganga Mungu mitishamba imani.

Huna baya kama nyamwiga.

Asiofaa kafaa.

Wema Akiba.

Big up sana "infolensa" Dotto Magari Mtoto wa mama kizimkazi ,na hapa ipo.
Anasema mtu sie nyau...! 🤣
 
Back
Top Bottom