Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Mtu asiye na elimu huyo ni mzigo kwa Taifa , no intelligent person unaenda wap sasa , Dotto Magari ni mfano wa jinsi ambavyo mtu asiye na elimu inabd ajitoe ufahamu ( mental crazy) ili apate mafanikio ....hii ni njia ngumu Zaid ya kufanikiwa kuliko kwenda shule , pelekeni watoto wenu shule waelekeze namna ya kuunganishwa na Dunia , achaneni kusifia vtu ambavyo havina future yyte