Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ifikiwe wakati atambue majukumu yake.Nchi ngumu hii. viongozi hovyo, raia nao hovyo. Hivi ina maana hamjui tatizo liko wapi? Unamwambia Samia aingilie kati wakati yeye ndiye chanzo cha tatizo? Hamuewi wapi?
''ifike mahali'' ni msemo uliozoeleka sana Bongo. Hiyo mahali haitafika bila raia kujitambua na kutambua haki zao na kuzidai ka nguvu. Wewe endelea kusubiri ifike mahali lakini haitafika mahali.ndio ifikiwe wakati atambue majukumu yake.
Ulichosema kipo sahihi kabisa. Ni ukweli mchungu watanzania tumekuwa keyboard warriors wazuri lakini linapokuja swala la vitendo tumekuwa mithili ya mbuni kuficha vichwa vyetu kwenye shimo kwa matumaini kuwa hata mwili hauonekani pia.''ifike mahali'' ni msemo uliozoeleka sana Bongo. Hiyo mahali haitafika bila raia kujitambua na kutambua haki zao na kuzidai ka nguvu. Wewe endelea kusubiri ifike mahali lakini haitafika mahali.
Duh! Pole sana Mkuu!Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana jamii forum mlio nitafuta pm kwa kunipa pole katika msiba ule mzito,
Nawashukuru pia wale mlio kuja pm kunikebei yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja kwa kuwausisha na Mauaji ya mtoto wangu
I?
Haijaingia akilini kwa nini watu wote hawo wamuue mtoto wa shule? Kwa nini unadhani JF ina uwezo au sababu zaidi kukusaidia kuliko Diwani wako au IGP?Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana jamii forum mlio nitafuta pm kwa kunipa pole katika msiba ule mzito,
Nawashukuru pia wale mlio kuja pm kunikebei yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja kwa kuwausisha na Mauaji ya mtoto wangu
HULE MPAKA AKAGONGWA?
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MARELIA ILIYOTAJWA NA DC NA KOVU LIRE LA AJALI?
Ndugu mimi kama Baba nilipofika hosptali nililipia pesa pale mochwari Temeke ili niuone mwili wa mwanangu kabla ya kuoshwa nilipo ingia ndani yule kijana wa mochwari alinivuruga kichwa alipoanza kunionesha miili ya maiti wengine nilipofkkia wa mwanangu niliona matone ya Damu kwenye shuka na mdomoni.Jibu maswali ya huyo member ni muhimu sana, na mm swali langu ni moja kuona kidonda mguuni inaaashiria vipi kwamba mtoto aligongwa?
Hapa ndio andiko lako limeonyesha ulivyo, yaani ulitaka waje for free kufanya kazi yako? mhavile anajua waandishi wake hawalipi hela ya maana na wanategemea hizo bahasha na wala sio dhambi wala Rushwa.Ujumbe huu umfikie pia Joyce Mhavile,ITV kuna changamoto kubwa wanahabar wako wanacover stori inayowapa bahasha
Jamaa amenidisapoint sana alikuja hapa mwili ukiwa lindi na tulimshauri asikubali mwili kuzikwa!Ukiwa kama baba wa mtoto naomba nikiri wazi kwamba hukutekeleza majukumu Yako vilivyo Toka umepata taarifa za msiba na mpaka dogo anazikwa...
Mkuu acha uongo karudie kusoma ule uzi ushauri huo ulipewa na kama kuna mtu alikejeli basi ni mmoja! Kasome tena ule uzi! Sasa hata kama ukuona huo ushauri ulikubali vipi kuzika katika hali ulio eleza? Mgegoma na mkawasusia mwili shida mnafikiri habari mpaka wafatwe ITV …ungeweza ku update hata hapa Jf ingesaidia msingekubali kuzika maana sasa hivi itahitajika nguvu na ushawishi mkubwq mpaka mwili urudiwe tena kufukuliwa na ufqnyike uchunguzi!Ndugu ushauri sikuuona kamwe zaidi niliona matusi yenu na kebei
Mimi naona amekuuliza vizuri ili aweze kutoa ushauri au kukusaidia. Hakuna anayeona yaliokupata ni madogo. Lakini taarifa inakati Kati mtu unashindwa kutoa ushauri. Au kukusaidia. Inawezekana umeikata Kwa sababu za msingi, lakini ikampa shida MTU wa nje ya mzunguko wa taarifa yako.Yaliyonifika yakikufika utaelewa! Sikuombei maana si mema
Ila asante ubarikiwe sana
Ndugu sijaomba jamii forum inipe msaada naomb kama unasoma na uelewi basi kaa pale maoni mengine yanazidisha uchunguHaijaingia akilini kwa nini watu wote hawo wamuue mtoto wa shule? Kwa nini unadhani JF ina uwezo au sababu zaidi kukusaidia kuliko Diwani wako au IGP?
Ndugu niliutafuta ule uzi ili nitoe update sikuuona ten nikajua umefutwa na kuna kundi liliniandama sana kupitia pm nakaisi nmekosea kuleta ile habari hap..Mkuu acha uongo karudie kusoma ule uzi ushauri huo ulipewa na kama kuna mtu alikejeli basi ni mmoja! Kasome tena ule uzi! Sasa hata kama ukuona huo ushauri ulikubali vipi kuzika katika hali ulio eleza? Mgegoma na mkawasusia mwili shida mnafikiri habari mpaka wafatwe ITV …ungeweza ku update hata hapa Jf ingesaidia msingekubali kuzika maana sasa hivi itahitajika nguvu na ushawishi mkubwq mpaka mwili urudiwe tena kufukuliwa na ufqnyike uchunguzi!
Lakini usichoke tuendelee kupambana mkuu!
Ni kipi sijakiandika ndugu?Mimi naona amekuuliza vizuri ili aweze kutoa ushauri au kukusaidia. Hakuna anayeona yaliokupata ni madogo. Lakini taarifa inakati Kati mtu unashindwa kutoa ushauri. Au kukusaidia. Inawezekana umeikata Kwa sababu za msingi, lakini ikampa shida MTU wa nje ya mzunguko wa taarifa yako.
Ndugu mwili uliletwa na mitutu ya Bunduki kwangu mimi sikuwepo kwangu kabisa nilifika kumekucha mait imeisha pelekwa Temeke ndugu yangu uchungu nilio kuwa naoJamaa amenidisapoint sana alikuja hapa mwili ukiwa lindi na tulimshauri asikubali mwili kuzikwa! Maana kuja kufukuliwa ni process kubwa mpaka wakubwa waone aibu lakini angegoma mwili kuzikwa ingemsaidia zaidi…