Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Huko ndiko mnakokimbilia umeshindwa na hoja , mimi nakuwekea ushahidi wa hao waliokuandikia hizo biblia wanavyokuambia , matusi na kejeli nakupa uhuru hiyo ni choice au labda ndiyo mafundisho ya kanisa lenu
Hakuna muislam mweye hoja,hata Allah hilo limemshinda ndio maana aliamuru mtume akabwe baada ya kujieleza kwamba hajui kusoma🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Hakuna muislam anaweza mtindo wa maswali na majibu,ndio maana CP anawaua sana kule youtube😄😄😄.

Kwa hivyo Biblia haina uhusiano wowote na Injili ya asili ya Yesu au Torati ya Musa, ambazo zote mbili zimetoweka, kwa kadiri tu athari za maandishi yao zinavyoweza kuwa sehemu ya maneno machache yaliyohusishwa na Musa na. Yesu katika Biblia.

Bado, ni vigumu kuamua ni maneno gani kati ya haya ni mafunuo ya Mungu na ni mafundisho ya nabii husika.

Allah anasema ndani ya Qur’an :

{Basi ole wao wanao andika Kitabu kwa mikono yao! kisha husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Ili waifanye biashara, kwa thamani ndogo; Basi ole wao kwa yale iliyoyaandika mikono yao, na ole wao kwa yale waliyo yachuma.} (Al-Baqarah 2:79).
 
Kwa hivyo Biblia haina uhusiano wowote na Injili ya asili ya Yesu au Torati ya Musa, ambazo zote mbili zimetoweka, kwa kadiri tu athari za maandishi yao zinavyoweza kuwa sehemu ya maneno machache yaliyohusishwa na Musa na. Yesu katika Biblia.
Tunaomba injili halisi ya Yesu na torati ya Mussa,popote pale ilipo.
Bado, ni vigumu kuamua ni maneno gani kati ya haya ni mafunuo ya Mungu na ni mafundisho ya nabii husika.
Kwanini ni vigumu??wakati tayari unafahamu si halisi??
Allah anasema ndani ya Qur’an e:

{Basi ole wao wanao andika Kitabu kwa mikono yao! kisha husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Ili waifanye biashara, kwa thamani ndogo; Basi ole wao kwa yale iliyoyaandika mikono yao, na ole wao kwa yale waliyo yachuma.} (Al-Baqarah 2:79).
Yeye mwenyewe ana kesi ya kujibu,kwanini aruhusu watu waandike na ana uwezo wa kuandika yaliyotoka kwake???
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Allah anasema ndani ya Qur’an e:

{Basi ole wao wanao andika Kitabu kwa mikono yao! kisha husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Ili waifanye biashara, kwa thamani ndogo; Basi ole wao kwa yale iliyoyaandika mikono yao, na ole wao kwa yale waliyo yachuma.} (Al-Baqarah 2:79).
Uislamu ni dini ya ujinga, kutovumiliana, vurugu, chuki, uasherati, uovu, iliyojaa uongo/waongo. Uislamu una Muhammad, nabii wa uongo mwenye dhambi sana, kama Mwalimu wa Uislamu. Waislamu ni WATUMWA wa Muhammad. Kwa vile Muhammad ni nabii wa uongo, Uislamu ni dini ya uwongo ya waliopotea.
 
Hakuna muislam mweye hoja,hata Allah hilo limemshinda ndio maana aliamuru mtume akabwe baada ya kujieleza kwamba hajui kusoma🤣🤣🤣

Hii hapa hoja tuambie

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...

Warumi 2:16

16Haya yatatukia siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama Injili yangu inavyotangaza.

Warumi 16:25

Basi atukuzwe yeye awezaye kuwathibitisha ninyi kwa Injili yangu na uhubiri wa Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyofichwa tangu zamani za kale;

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...

Warumi 15:16

16 niwe mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa mataifa, mwenye wajibu wa ukuhani wa kutangaza Habari Njema ya Mungu, ili watu wa mataifa mengine wawe dhabihu inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.

2 Wakorintho 11:7

7 Je, ni dhambi kwangu kujishusha ili nipate kuwainua ninyi kwa kuwahubiria Habari Njema ya Mungu bila malipo?

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...

1 Wakorintho 9:13

Lakini hatukutumia haki hii. Badala yake, tunavumilia chochote badala ya kuizuia Injili ya Kristo.

13 Je, hamjui kwamba wale wanaofanya kazi Hekaluni hupata chakula chao cha Hekalu, na wale wanaotumikia madhabahuni hushiriki sadaka ya madhabahu?

2 Wakorintho 2:12

12 Nilipokwenda Troa kuhubiri Habari Njema ya Kristo, nikaona kwamba Bwana amenifungulia mlango.

2 Wakorintho 9:13

13 Kwa sababu ya utumishi mliojionyesha wenyewe, watu watamsifu Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kuiungama kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu katika kushiriki pamoja nao na pamoja na watu wengine wote.

2 Wakorintho 10:14

14 Hatuendi mbali sana katika kujisifu kwetu, kama ingekuwa hivyo kama hatungekuja kwenu, kwa maana tulifika kwenu kwa Habari Njema ya Kristo.

Warumi 1:9

9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuihubiri Habari Njema ya Mwana wake, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka ninyi daima.

Mstari wa mwisho unaonyesha tofauti kati ya Mungu na Yesu

Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?
 
Uislamu ni dini ya ujinga, kutovumiliana, vurugu, chuki, uasherati, uovu, iliyojaa uongo/waongo. Uislamu una Muhammad, nabii wa uongo mwenye dhambi sana, kama Mwalimu wa Uislamu. Waislamu ni WATUMWA wa Muhammad. Kwa vile Muhammad ni nabii wa uongo, Uislamu ni dini ya uwongo ya waliopotea.

Una uhuru wa kuandika utakalo bila ushahidi , MImi nakuwekea ushahidi , hujanitoa makosa hata sehemu moja

Kwa mujibu wa wasomi wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Injili zenyewe una mashaka.
 
Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?
Hapa Muhammad alihubiri mawazo yake mwenyewe au ya allah?
Blessed the brutal murder of a half-blind man (al-Tabari 1440) mkorinto usikubali kufanyiwa interview. Unajibu nae akujibu otherwise usijisumbue.
 
Wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwaweka waarabu ndani ya utawala mmoja wa kiimani, kabla waarabu walikuwa wakiabudu miungu yao mbalimbali kupitia masanamu Ili iwe rahisi kuwatawala, Majasusi wa Shirika la Jesuit vatican wakaanzisha dini mpya itwayo islam,itakayowaunganisha waarabu wote kiimani mwaka 600 AD. Mapadre watano wa kikatoliki ndio walioandika kitabu cha Quran na kumtafuta mwanamke mfanyabiashara aitwae Bi Hadija na kumpa utajiri. Bi khadija ndie alimtafuta kijana aitwae Muhammad akamkabidhi kwa mapadre wa kikatoliki ndio waliomfunza Quran mapangoni.Ndipo Uislamu ukaenea kwa kasi Sana Katika nchi za kiarabu ambazo zamani zilikuwa ni nchi za Kikristo ukavuka mpaka na kutaka kuingia nchi za Ulaya mashariki kutokea Uturuki Ili kwenda kuiteka Vatican, Majasusi wa Jesuit wakaingia tena vitani wakarudisha nyuma kupitia vita vya msalaba waarabu wakala Sana panga toka vatican wakarudi nyuma, rejea vita vya msalaba na ottoman empire. Majuzi magaidi wa ISIS tokea iraq wakataka kuendeleza mpango ulioshindwa wa ottoman empire kuupenyesha utawala wa kiislamu Ulaya. Wakasambaratishwa na USA na NATO na kumuua Al baghad kiongozi wa ISIS. Huku kundi la ISIL tawi la ISIS Syria likipelekwa kuzimu na ndege za Putin.
Dini zote uzionazo duniani ni tawi la ukatoliki, maprostetant wote ni watoto wa katoliki.

Ulisoma shule ya ngumbaro ??
Yaani wakristo Wakatoliki waanzishe uislamu unaosema Yesu si Mungu , Yesu hakusulubiwa, Hakuna utatu Mtakatifu, Maria si mama wa Mungu ? Nani kakulisha matango pori yenye sumu ?
 
Una uhuru wa kuandika utakalo bila ushahidi , MImi nakuwekea ushahidi , hujanitoa makosa hata sehemu moja

Kwa mujibu wa wasomi wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Injili zenyewe una mashaka.
Sijibu hoja zako maana hujawahi jibu zangu.
Unataka uwe unajibiwa wewe tu why? Conversation is btn 2 ppl. I ask, u answer, then u ask i answer. Will you do that?????
 
Ulisoma shule ya ngumbaro ??
Yaani wakristo Wakatoliki waanzishe uislamu unaosema Yesu si Mungu , Yesu hakusulubiwa, Hakuna utatu Mtakatifu, Maria si mama wa Mungu ? Nani kakulisha matango pori yenye sumu ?
Kasome historia ya dini utajua. Huwezi pata ukweli kwa kutumia kitabu cha imani kukosoa.

Both islam and Christianity has its origin. Huihui2
 
Sijibu hoja zako maana hujawahi jibu zangu.
Unataka uwe unajibiwa wewe tu why? Conversation is btn 2 ppl. I ask, u answer, then u ask i answer. Will you do that?????

basi soma hii ufunue kichwa chako

Katika karne ya kumi na tisa, wasomi wa Biblia wa Kikristo wameanza kujadili maana ya “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulikotokea katika Torati.

Hivi ni visa vilivyotokea mara mbili mbili, na kila mara kinakuwa na maelezo tofauti.

Miongoni mwa visa hivyo ni visa viwili vya agano la Mungu na Ibrahimu, linalohusu Mungu kubadilisha Jina la Yakobo na kuwa Israeli pia na kisa cha Musa kupata maji kutoka katika mwamba.

Watetezi wanaotetea utunzi wa Musa wamesema kuwa “kujirudiarudia mara mbili mbili” hakukuwa na kupingana, bali ni kuleta faida.

Dhamira zao zilikuwa ni kutufundisha undani, na maana ndogo juu ya Torati.

Hata hivyo, madai haya yalifagiwa haraka haraka na wasomi walio na moyo wa uadilifu, walioona kuwa, sio tu baadhi ya vifungu vilikuwa vinapingana kwa uwazi kabisa, lakini pia wakati kule “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulipotenganishwa na kuwa vifungu viwili, kila kifungu kwa uthabiti kilitumia jina la Mungu lilotofauti.

Siku zote mtu anaweza kumchukulia Mungu kuwa ni Yahweh au Jehovah, andiko hili liliitwa “J”. Na lingine, siku zote, linamchukulia Mungu kuwa ni Elohim, na liliitwa “E”.

Kulikuwa na sifa za kifasihi zilizopatwa kuwa ni moja kwa waraka mmoja au mwingine.

Uchambuzi wa fasihi za kisasa, kwa mujibu wa Profesa Richard Friedman unaashiria kuwa vile vitabu vitano vya Musa ni mchanganyiko wa Kiebrania wa kuanzia karne ya tisa, nane, saba na sita B.C. (Kabla ya kuzaliwa Kristo).

Kwa hiyo, Musa aliyeishi karne ya kumi na tatu B.C., alikuwa yu mbali mno na Kiebrania cha Biblia hata kuliko alivyokuwa mbali Shakespeare na Kingereza cha leo
 
Hii hapa hoja tuambie

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili yake mwenyewe...

Warumi 2:16

16Haya yatatukia siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama Injili yangu inavyotangaza.

Warumi 16:25

Basi atukuzwe yeye awezaye kuwathibitisha ninyi kwa Injili yangu na uhubiri wa Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyofichwa tangu zamani za kale;

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Mungu...

Warumi 15:16

16 niwe mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa mataifa, mwenye wajibu wa ukuhani wa kutangaza Habari Njema ya Mungu, ili watu wa mataifa mengine wawe dhabihu inayokubalika kwa Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.

2 Wakorintho 11:7

7 Je, ni dhambi kwangu kujishusha ili nipate kuwainua ninyi kwa kuwahubiria Habari Njema ya Mungu bila malipo?

Kuna mistari inayoonyesha kwamba Paulo alikuwa akihubiri Injili ya Kristo...

1 Wakorintho 9:13

Lakini hatukutumia haki hii. Badala yake, tunavumilia chochote badala ya kuizuia Injili ya Kristo.

13 Je, hamjui kwamba wale wanaofanya kazi Hekaluni hupata chakula chao cha Hekalu, na wale wanaotumikia madhabahuni hushiriki sadaka ya madhabahu?

2 Wakorintho 2:12

12 Nilipokwenda Troa kuhubiri Habari Njema ya Kristo, nikaona kwamba Bwana amenifungulia mlango.

2 Wakorintho 9:13

13 Kwa sababu ya utumishi mliojionyesha wenyewe, watu watamsifu Mungu kwa ajili ya utii unaoambatana na kuiungama kwenu Injili ya Kristo, na kwa ukarimu wenu katika kushiriki pamoja nao na pamoja na watu wengine wote.

2 Wakorintho 10:14

14 Hatuendi mbali sana katika kujisifu kwetu, kama ingekuwa hivyo kama hatungekuja kwenu, kwa maana tulifika kwenu kwa Habari Njema ya Kristo.

Warumi 1:9

9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu wote katika kuihubiri Habari Njema ya Mwana wake, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka ninyi daima.

Mstari wa mwisho unaonyesha tofauti kati ya Mungu na Yesu

Je, Paulo alikuwa akihubiri injili yake mwenyewe, injili ya Yesu au Injili ya Mungu?
Injili ya paulo ni ipi??

Injili ya Mungu ni ipi??

Injili ya kristo ni ipi??
 
Hapa Muhammad alihubiri mawazo yake mwenyewe au ya allah?
Blessed the brutal murder of a half-blind man (al-Tabari 1440) mkorinto usikubali kufanyiwa interview. Unajibu nae akujibu otherwise usijisumbue.
Kuna muislam anaweza kufanya hivi sasa😄😄😄
 
  • Kicheko
Reactions: 511
basi soma hii ufunue kichwa chako

Katika karne ya kumi na tisa, wasomi wa Biblia wa Kikristo wameanza kujadili maana ya “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulikotokea katika Torati.

Hivi ni visa vilivyotokea mara mbili mbili, na kila mara kinakuwa na maelezo tofauti.

Miongoni mwa visa hivyo ni visa viwili vya agano la Mungu na Ibrahimu, linalohusu Mungu kubadilisha Jina la Yakobo na kuwa Israeli pia na kisa cha Musa kupata maji kutoka katika mwamba.

Watetezi wanaotetea utunzi wa Musa wamesema kuwa “kujirudiarudia mara mbili mbili” hakukuwa na kupingana, bali ni kuleta faida.

Dhamira zao zilikuwa ni kutufundisha undani, na maana ndogo juu ya Torati.

Hata hivyo, madai haya yalifagiwa haraka haraka na wasomi walio na moyo wa uadilifu, walioona kuwa, sio tu baadhi ya vifungu vilikuwa vinapingana kwa uwazi kabisa, lakini pia wakati kule “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulipotenganishwa na kuwa vifungu viwili, kila kifungu kwa uthabiti kilitumia jina la Mungu lilotofauti.

Siku zote mtu anaweza kumchukulia Mungu kuwa ni Yahweh au Jehovah, andiko hili liliitwa “J”. Na lingine, siku zote, linamchukulia Mungu kuwa ni Elohim, na liliitwa “E”.

Kulikuwa na sifa za kifasihi zilizopatwa kuwa ni moja kwa waraka mmoja au mwingine.

Uchambuzi wa fasihi za kisasa, kwa mujibu wa Profesa Richard Friedman unaashiria kuwa vile vitabu vitano vya Musa ni mchanganyiko wa Kiebrania wa kuanzia karne ya tisa, nane, saba na sita B.C. (Kabla ya kuzaliwa Kristo).

Kwa hiyo, Musa aliyeishi karne ya kumi na tatu B.C., alikuwa yu mbali mno na Kiebrania cha Biblia hata kuliko alivyokuwa mbali Shakespeare na Kingereza cha leo
Chambua qurani achana na magazeti ya mtandaoni.
Kwanza umethibitisha ulivyo mweupe kichwani. Hata nilichoandika hujakielewa.
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?
Jibu mbona liko uchii?!!!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kasome historia ya dini utajua. Huwezi pata ukweli kwa kutumia kitabu cha imani kukosoa.

Both islam and Christianity has its origin. Huihui2

Upeo wa kujua ni kiasi gani kilichoongezwa waziwazi katika matini asilia ni vigumu sana kuamua.

Kwa hiyo, kivuli kikuu cha mashaka kimegubika utunzi wa vitabu vyote kiujumla.

Katika kiambatisho cha toleo la Rivised Standard Version chenye anuani “Vitabu vya Biblia,” yafuatayo ndiyo yaliyoandikwa kuhusiana na mtunzi wa zaidi ya theluthi moja ya vitabu vilivyobakia katika Agano la Kale:

Waamuzi mwandishi Huenda ni Samweli

Ruthu mwandishi Huenda ni Samweli

Samweli wa Kwanza mwandishi Hajulikani

Samweli wa Pili mwandishi Hajulikani

Wafalme wa Kwanza mwandishi Hajulikani

Wafalme wa Pili mwandishi Hajulikani

Mambo ya Nyakati wa Kwanza mwandishi Hajulikani

Esta mwandishi Hajulikani

Ayubu mwandishi Hajulikani

Mhubiri mwandishi Kuna mashaka

Yona mwandishi Hajulikani

Malaki mwandishi wake Hakuna kinachojulikana
 
Back
Top Bottom