Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

Nenda kanyonye huna akili bado nafikiri hujui nchi zenye waislamu wengi zinakuaje
 
Mkuu acha kuleta Google wana I feed data kulingana na mwenye mamlaka, tena wengi wano jipa hizo data ni maadui wa Islamu hawawezi kusema Zuri lolote kuhusu uislamu.
Hujielewi wewe umechanganyikiwa Kila mtu unabishana nae🤣🤣🤣
 
Nedna kanyonye huna akili bado nafikiri hujui nchi zenye waislamu wengi zinakuaje
Mkuu naona umeishiwa hoja sio baya suburi wenye hoja watukuja tu, mimi siwezi kutukana mtu hata nikishindwa kupata hoja zenye mashiko.
 
In Tanzania, the estimated ratio of Muslims to Christians is roughly 35% Muslims and 60% Christians, with the remaining 5% of the population following other religions or having no religious affiliation.

The Muslim population is primarily concentrated in coastal regions such as Zanzibar and Pwani, while Christians are spread more widely across the country, with significant populations in regions like the northern, central, and southern areas. However, these figures may vary slightly based on different sources and the evolving demographics over time.
 
Mkuu naona umeishiwa hoja sio baya suburi wenye hoja watukuja tu, mimi siwezi kutukana mtu hata nikishindwa kupata hoja zenye mashiko.
Sawa subiri wenye hoja kwenye hivyo viroja vyako
 
Wewe nani kakuambia Tanzania ni nchi ya wa kuristo wengi? Neenda kwote dunian FBI na CIA wana categorise Tanzania kama nchi uenye waislamu majority achana na hizi propaganda za CCM eti serikali haina dini.
ukijumlisha na zanzibar kwenye waislam wengi
 
The source is not authentic mkuu, Google ni kama mtu yoyote hanawa au hafanyi utafiti, wanaweka wanavyo taka viongozi wao kimasirahi
 
1. Andika hoja ya Uongo
2. Tafuta sababu za Uongo kutetea hoja

Nchi za Kiisilamu ni masikini toka lini? Nchi pekee za kiisilamu zenye Umasikini wa kutupwa level ya Africa ni Afghanistan, Somalia na Yemen na zenyewe nazo ni sababu ya Vita,

Ila nchi zote za kiisilamu zenye Amani hakuna yenye Umasikini wa kutupwa.

Nchi kama Malyasia, Indonesia, Brunei, Oman, Saudi Arabia, Kuwait, Bahrain, UAE, Qatar, Iraq etc kwa miongo kadhaa ni magiant wa Uchumi Duniani.

Even Nchi kama Palestina, Syria, Libya na wengineo wenye vita ukicompare na Nchi za Ki Africa uchumi wao mzuri zaidi.

Hata Hapa Africa Nchi za Kiisilamu ukiangalia Uchumi wao kama Morocco, Algeria, Tunisia, Egpty etc utafananisha na Malawi, Kenya, Tanzania etc
 
Nimekupa chimbo neenda CIA na FBI classified information website kuna wakati wanazuachia kwa public knowledge hizo information Tanzania ni majority Muslim country.
Leta wewe ilo chimbo hapa kama sisi tulivyoleta Kwa mujibu wa google
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-131153.jpg
    159.4 KB · Views: 2
Mkuu unataka kusema Tanzania sio nchi ya waislamu?
 
Wafalme wenye maono na zali la mentali (uhitaji wa mafuta kimataifa )
Sio zali la mentali, kama Dubai ni matajiri siku nyingi, Waingereza Wamecolonise Africa na Asia wamefika hapo badala ya kufanya ukoloni wakataka Urafiki, wasaidiwe kupambana na pirates na wao watawalinda,

Sio fluke hao jamaa kuweza kutumia resource zao vizuri, uisilamu na Biashara ni Chanda na Pete, sio Coincidence Majiji makubwa Ulaya kama London, ama Nchi kubwa Africa kama South Africa hata ukija Tanzania biashara zinamilikiwa na hao hao wafanya Biashara wa Kiisilamu. Ni utamaduni ambao upo zaidi ya miaka 1000 sasa.
 
Kwani wewe umejuaje kwamba ni muislamu na unawakika gani kwamba mimi ni muialamu? acha udini mkuu
Udini Gani nimeleta hapo hujielewi wewe unabweka mda wote bila vielelezo wenzio tumeleta data wewe unabweka tu
 
Uislamu Ulifika pwani ya Afrika Mashariki kabla ya Morocco na Tunisia FYI
Tunisia mbali hivyo hapo hapo Saudia kuna watu wameusikia uisilamu wakati tayari umeshafika pwani ya Africa mashariki.

Mfalme Najad wakati anawapokea Waisilamu waliokuja Kuomba hifadhi Africa bado Mtume yupo Mecca, na anasambaza uisilamu kwa Siri, Hata Madina haja kwenda Bado.

Kuna msikiti Somalia unaitwa Qiblatain hadi leo upo Kibla chake kipo Jerusalem kama ushahidi.
 
Udini Gani hujielewi wewe unabweka mda wote bila vielelezo wenzio tumeleta data wewe unabweka tu
Mkuu una panic bure nimekuuliza suali simple umejuaje kwamba yule jama ni muislamu na mimi pia ni muislamu, jibu kwa hoja acha hasira mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…