Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

Mkuu una panic bure nimekuuliza suali simple umejuaje kwamba yule jama ni muislamu na mimi pia ni muislamu, jibu kwa hoja acha hasira mkuu.
Soma comment zake ndio utajua labda uwe huna akili ndio hutojua hata wewe pia labda mtu ambae Hana akili ndio hatojua kama wewe sio mvaa gauni na kobazi
 
E
Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia tajiri ya kiasili, zinakumbwa na viwango vya juu vya umasikini, huku wastani wa Pato la Taifa kwa kila mtu (GDP per capita) ukiwa chini kwa takribani dola 5,000 ikilinganishwa na wastani wa dunia. Sababu za hali hii ni mseto wa mambo ya ndani na nje yaliyofanya nchi hizi kushindwa kufanikisha maendeleo endelevu.

Mafanikio ya Kale na Sababu za Kuporomoka

Karne ya 10 BK, ulimwengu wa Kiislamu ulikuwa moja ya nguvu kubwa za kiuchumi duniani, ukichangia asilimia 10 ya Pato la Dunia. Hali hii ilitokana na ujuzi wa biashara, maendeleo ya kiteknolojia ya wakati huo, na mifumo ya kiuchumi iliyokuwa imara. Hata hivyo, mafanikio haya hayakudumu kutokana na sababu zifuatazo:

1. Ukosefu wa Makampuni Makubwa na Biashara za Kudumu

Sheria za urithi za Kiislamu zinasisitiza mgawanyo wa mali kwa warithi wengi. Hii ilisababisha mtaji kupunguzwa kwa kila kizazi, hali iliyosababisha biashara kuwa ndogo na kukosa uwezo wa kukua na kudumu kwa muda mrefu. Ukosefu huu wa uendelevu ulisababisha kudumaa kwa sekta ya biashara, huku uchumi wa nchi ukitegemea zaidi shughuli za viwanda vidogo na kilimo.

2. Ukosefu wa Mfumo wa Kibenki Imara

Sheria za Kiislamu zinazopiga riba zilisababisha maendeleo duni ya sekta ya benki. Hali hii ilifanya iwe vigumu kwa wafanyabiashara kupata mikopo ya kupanua shughuli zao. Matokeo yake, sekta ya kifedha ilibaki kuwa dhaifu, ikizidisha matatizo ya kiuchumi.

3. Udhaifu wa Mifumo ya Kisheria

Utegemezi wa ushahidi wa mdomo katika sheria za Kiislamu ulipunguza uaminifu katika mikataba ya biashara. Hii ilisababisha wawekezaji wa kigeni kuwa waangalifu, hali iliyozuia mtiririko wa uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI). Ukosefu wa uwekezaji uliathiri ukuaji wa viwanda, huku wafanyabiashara wakihangaika kupata ulinzi wa kisheria kwa mali zao.

4. Utegemezi wa Uongozi wa Kidini

Katika historia ya nchi nyingi za Kiislamu, viongozi wa kisiasa walitafuta uhalali kutoka kwa mamlaka za kidini. Hii ilizuia mageuzi ya kiuchumi, kwa kuwa mabadiliko yoyote yaliyoonekana kutishia ushawishi wa kidini yalipingwa. Matokeo yake, juhudi za kuimarisha uchumi zilikwama.

Tamaduni na Ubunifu: Sababu za Mkwamo wa Maendeleo

1. Kupungua kwa Ubunifu wa Kiteknolojia

Katika kipindi cha mabadiliko ya viwanda duniani, ulimwengu wa Kiislamu uliachwa nyuma. Marufuku ya mashine ya uchapishaji katika baadhi ya maeneo ya Kiislamu ni mfano dhahiri wa jinsi tamaduni zilivyozuia maendeleo. Wakati mataifa ya Magharibi yalikuwa yakichapisha vitabu na kusambaza maarifa, nchi nyingi za Kiislamu zilichelewa kujiunga na mapinduzi haya ya maarifa. Hii ilizuia maendeleo ya kielimu na kiuchumi, huku ulimwengu wa Kiislamu ukipoteza nafasi yake kama kitovu cha uvumbuzi.

2. Utamaduni wa Kudumu na Hali ya Mabadiliko Polepole

Muunganiko wa mamlaka za kidini na kisiasa ulisababisha tamaduni za nchi za Kiislamu kuwa sugu kwa mabadiliko. Maamuzi mengi ya kisiasa na kiuchumi yaliathiriwa na hofu ya kupoteza uhalali wa kidini, hali iliyosababisha maendeleo kuwa polepole au kutokuwepo kabisa.

Njia za Kutatua Changamoto Hizi

Ili kuboresha hali ya kiuchumi katika nchi zenye Waislamu wengi, juhudi za kina zinapaswa kufanywa kwa kuzingatia maeneo yafuatayo:

1. Mageuzi ya Sheria za Urithi

Kuweka mfumo wa urithi unaoruhusu mali za familia kubaki kuwa za umoja badala ya kugawanywa. Hii itasaidia biashara kukua na kudumu kwa vizazi kadhaa.

2. Kuimarisha Mfumo wa Kibenki

Kukuza mifumo ya kifedha inayofuata kanuni za Kiislamu lakini inayotoa suluhisho mbadala kwa riba, kama vile mikopo ya msingi wa hisa au ushirika wa faida na hasara.

3. Kuwekeza katika Ubunifu na Teknolojia

Kuanzisha sera zinazohamasisha uvumbuzi na matumizi ya teknolojia za kisasa. Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuweka kipaumbele katika elimu ya sayansi na teknolojia ili kujiweka sawa na mataifa mengine.

4. Kutenganisha Dini na Siasa

Ingawa dini ina nafasi muhimu katika maisha ya kijamii, kuna umuhimu wa kutenganisha maamuzi ya kisiasa na ushawishi wa kidini ili kuwezesha mageuzi ya kiuchumi na kijamii.

5. Kuvutia Uwekezaji wa Kigeni

Kuimarisha mifumo ya kisheria ili kuongeza uaminifu kwa wawekezaji wa ndani na wa nje. Ulinzi wa mali za wawekezaji na mikataba yao utasaidia kuvutia mtaji unaohitajika kwa maendeleo ya viwanda.

Hitimisho

Changamoto za kiuchumi zinazokumba nchi nyingi za Kiislamu hazisababishwi tu na ukoloni bali pia historia ndefu ya masuala ya kitamaduni na taasisi. Ili kuboresha uchumi wao, nchi hizi zinapaswa kukumbatia mageuzi ya kimuundo na kiutamaduni, kuimarisha elimu, na kushirikiana na jamii ya kimataifa. Hii inaweza kusaidia kufungua mlango wa maendeleo endelevu na kurejesha nafasi yao katika uchumi wa dunia.
Wewe ni mpumbavu,mdini,mjinga na mwenye chuki------angalia Hali ya uchumi wa mataifa yenye waislam wengi na yenye wakristo wengi Kisha make conclusion.
Mfano Africa,chukua Sour africa,Zambia,Tanzania,D.R.C,Malawi.......kisha fananisha na nchi zenye waislam wengi kama Libya,Morocco,Algeria,Misri,Nigeria..........utapata jibu.
Yaani serious Morocco hii hii,mfalmw wake aliyeihaidi Tanzania uwanja wa Mpira wa soka,inakumbwa na viwango vya juu vya umasikini?,kuliko Tanzania,Kenya,Zambia,Botswana,Malawi,D.R.C etc?
Morocoo yenye per capital ya zaidi ya $10,000?,
Sina shida na wakristo ila Nina shida ya wakristo wenye chuki Kali ya uislma hadi kuimpairs judgement zao ukiwemo wewe na wewe ni mfano halisi WA hao wapumbavu
 
Attachments

  • FT_19.03.29_muslimChristianPopulations_christian.png
    FT_19.03.29_muslimChristianPopulations_christian.png
    104.8 KB · Views: 6
  • images (8).png
    images (8).png
    39.1 KB · Views: 7
E

Wewe ni mpumbavu,mdini,mjinga na mwenye chuki------angalia Hali ya uchumi wa mataifa yenye waislam wengi na yenye wakristo wengi Kisha make conclusion.
Mfano Africa,chukua Sour africa,Zambia,Tanzania,D.R.C,Malawi.......kisha fananisha na nchi zenye waislam wengi kama Libya,Morocco,Algeria,Misri,Nigeria..........utapata jibu.
Yaani serious Morocco hii hii,mfalmw wake aliyeihaidi Tanzania uwanja wa Mpira wa soka,inakumbwa na viwango vya juu vya umasikini?,kuliko Tanzania,Kenya,Zambia,Botswana,Malawi,D.R.C etc?
Morocoo yenye per capital ya zaidi ya $10,000?,
Sina shida na wakristo ila Nina shida ya wakristo wenye chuki Kali ya uislma hadi kuimpairs judgement zao ukiwemo wewe na wewe ni mfano halisi WA hao wapumbavu
Paniki ya nini fukara wewe umasikini wako unataka umalize hasira humu
 
Soma comment zake ndio utajua labda uwe huna akili ndio hutojua hata wewe pia labda mtu ambae Hana akili ndio hatojua kama wewe sio mvaa gauni na kobazi
Mkuu nimekuomba leta ushahidi unaniambia kusoma comment zake leta hiyo comment yake inayo declare Dini yake.......mbona hutaki kuelewa mkuu jitahidi kujibu suala sio kutukana mkuu.
 
Nakubaliana na Weww Kabisa..
Ila Kumbuka Dubai na UAE inaongoza kuwa na Uchumi Mkubwa
Dubai umeenda mbali sana hapa haoa Africa,.......hao akina Morocoo,Libya,Algeria,Tunisia,Egypt,.......90% population wamejaa waislam,kisha compre na nchi tano zenye 90% wakristo Africa kama D.R.C,ZAMBIA,ZIMBABWE,MALAWI na Central Africa Republic.
Angalia hata hapa bongo,........Kagera ina wakristo wengo sana kuliko Zanzibar ambapo 99% ni waislam,....ila maendelea ya Zanzibar ni 1000X ya maendelea ya Kagera,waislama hawajasoma na kukalilia elimu za sifa ila linapokuja suala la maendeleo wapo mbele ya muda.
Yes Tanga kwa wavivu ni jiji ila Moshi ni mji😂😀😅
 
Mkuu nimekuomba leta ushahidi unaniambia kusoma comment zake leta hiyo comment yake inayo declare Dini yake.......mbona hutaki kuelewa mkuu jitahidi kujibu suala sio kutukana mkuu.
Tufanye wote nyie ni wakristo Aya leta ushahidi kwamba tanzania ni nchi ya kiislamu
 
Dubai umeenda mbali sana hapa haoa Africa,.......hao akina Morocoo,Libya,Algeria,Tunisia,Egypt,.......90% population wamejaa waislam,kisha compre na nchi tano zenye 90% wakristo Africa kama D.R.C,ZAMBIA,ZIMBABWE,MALAWI na Central Africa Republic.
Angalia hata hapa bongo,........Kagera ina wakristo wengo sana kuliko Zanzibar ambapo 99% ni waislam,....ila maendelea ya Zanzibar ni 1000X ya maendelea ya Kagera,waislama hawajasoma na kukalilia elimu za sifa ila linapokuja suala la maendeleo wapo mbele ya muda.
Yes Tanga kwa wavivu ni jiji ila Moshi ni mji😂😀😅
Vipi South Africa na hao waarabu wako wa africa wapi kumeendelea
 
We kiasi kweli tanzania Kuna uislamu 60% si Al shabab wangeshatia timu hii nchi inawakristo wengi ndio maana hamna ugaidi
Kama Hadi Leo unaamini Kuna vita ya ugaidi wewe ni mpumbavu ........hiz vita zipo endapo wanaume wanatetea rasilimali zao.........kipindi Northern Mara barrick na Accacia wanachimba madini na kituachia 16%,mwarabu asingekubalo hata iweje,pangechimbika the mafala kama wewe mungeita ugaidi.
Wnaume wapo kazini,kipindi wewe unasema Iraq Kuna magaidi,Per capital yao ni $9000 mara Tisa ya Tanzania,jielimisheni.
Ulishaona alshabaab anaivamia Tanzania,ama Uganda baada ya kuevacuate wanajesi wake?
Kenya anajifanya anamtetea mzungu,moto ulimuwakia.
Yes kama ugaidi ni kupiganja rasilimali zako,......acha tu watanzania waendelee kuchotewa madini yao huku wakisifiwa wao kisiwa cha amani
 
Watu munaambiwa ukweli, munaendekeza udini maandazi.
Prince Salman si unaona anavoifungua saudia kwenye Islamic sharia zinazo hinder maendeleo ya uchumi.
Woman wameruhusiwa ku drive car's. etc.
Huko Taliban woman hawaruhusi kusoma university .

Nchi za Arab wangingefungamanisha Islamic sharia na maendeleo ya uchumi wangekuwa mbali sana kiuchumi
 
Kama Hadi Leo unaamini Kuna vita ya ugaidi wewe ni mpumbavu ........hiz vita zipo endapo wanaume wanatetea rasilimali zao.........kipindi Northern Mara barrick na Accacia wanachimba madini na kituachia 16%,mwarabu asingekubalo hata iweje,pangechimbika the mafala kama wewe mungeita ugaidi.
Wnaume wapo kazini,kipindi wewe unasema Iraq Kuna magaidi,Per capital yao ni $9000 mara Tisa ya Tanzania,jielimisheni.
Ulishaona alshabaab anaivamia Tanzania,ama Uganda baada ya kuevacuate wanajesi wake?
Kenya anajifanya anamtetea mzungu,moto ulimuwakia.
Yes kama ugaidi ni kupiganja rasilimali zako,......acha tu watanzania waendelee kuchotewa madini yao huku wakisifiwa wao kisiwa cha amani
Shida nini njaa imekupanda kichwani au mbona unaropoka kama umejinyea umasikini umekudatisha mpaka unaandika ushuzi mrefu Ili uonekane unauchungu sana au?
 
1. Andika hoja ya Uongo
2. Tafuta sababu za Uongo kutetea hoja

Nchi za Kiisilamu ni masikini toka lini? Nchi pekee za kiisilamu zenye Umasikini wa kutupwa level ya Africa ni Afghanistan, Somalia na Yemen na zenyewe nazo ni sababu ya Vita,

Ila nchi zote za kiisilamu zenye Amani hakuna yenye Umasikini wa kutupwa.

Nchi kama Malyasia, Indonesia, Brunei, Oman, Saudi Arabia, Kuwait, Bahrain, UAE, Qatar, Iraq etc kwa miongo kadhaa ni magiant wa Uchumi Duniani.

Even Nchi kama Palestina, Syria, Libya na wengineo wenye vita ukicompare na Nchi za Ki Africa uchumi wao mzuri zaidi.

Hata Hapa Africa Nchi za Kiisilamu ukiangalia Uchumi wao kama Morocco, Algeria, Tunisia, Egpty etc utafananisha na Malawi, Kenya, Tanzania etc
Wapumbavu hao wanalishana matango Pori uislam ni against pover hata Iraq kwenye vita ilikua masikink ila Sasa Ina uchumi imara mara 2 ya south Africa,...............hata hizo Syria,Yemen na Afghanistan ni suala La muda TU.......sababu kule hakuna mgodi wala kisima cha mafuta kinachomilikiwa na wazungu kaa Africa,jamaa wakitulia TU wanaanza kufyonza mali zao,thus why Iraq ndani ya 4 yrs GDP imekua 10 X.
Uisam upo against poverty kua sadaka zichangwe Iringa vijijini zitumwe Vatican kwa wajanja wachche wale bata this is typical colonialism
 
Wapumbavu hao wanalishana matango Pori uislam ni against pover hata Iraq kwenye vita ilikua masikink ila Sasa Ina uchumi imara mara 2 ya south Africa,...............hata hizo Syria,Yemen na Afghanistan ni suala La muda TU.......sababu kule hakuna mgodi wala kisima cha mafuta kinachomilikiwa na wazungu kaa Africa,jamaa wakitulia TU wanaanza kufyonza mali zao,thus why Iraq ndani ya 4 yrs GDP imekua 10 X.
Uisam upo against poverty kua sadaka zichangwe Iringa vijijini zitumwe Vatican kwa waja ja wachche wale bata this is typical colonialism
Shida nini ndio Ili uonekane unahasira sana au maana kama unawadudu kichwani unabwekabweka ovyo?
 
Shida nini njaa imekupanda kichwani au mbona unaropoka kama umejinyea umasikini umekudatisha mpaka unaandika ushuzi mrefu Ili uonekane unauchungu sana au?
Sehemu yenye uislam wengi haki inatamalaki,lazima ahueni ya maisha itakuepo......cheki Zanzibar hapo,matokeo ya form 4,or 6 yakitoka.....watu wanacheka,........kule Kagera watu wanasoma mno,ila elimu zao haziwasaidiii umasikini umetamalaki.............Zanzibar Ina watu wachache na migodi michache kuliko geita,ila Zanzibar ni nchi,99% waislam,Geita ni mkoa masikini uliojaa wakristo,
 
Nimekuuliza shida nini mbona unabwekabweka ovyo au ndio umasikini umekupanda kichwani?
 
Vipi South Africa na hao waarabu wako wa africa wapi kumeendelea
Mpumbavu ni mtu asiyejua akajifanya anajua akaelekezwa bado akajifanya anajua.............
Cheki hata Tz,...........Tanga Kuna waislam wengi ni jiji,compare na mkoa Kilimanjaro wenye wasomi wengi?
Wakristo wengi wanajua watoto wao kupata division one sekondari ndio utajiri😄😆😅😅
Ok nimekuwekea top five African rich countries ,za waislam zipo ngapi na,ya kwanza ni ya kikristo au kiislam?......jibu kishakawadithie wapumbav wenzako wanaokusanya michango yao nyumba za Ibadan kisha inaenda tumika kama source ya income na wenye akili
Je wewe sio mpumbavu?
 
Attachments

  • Screenshot_20241222-134435.png
    Screenshot_20241222-134435.png
    119.1 KB · Views: 5
Mpumbavu ni mtu asiyejua akajifanya anajua akaelekezwa bado akajifanya anajua.............
Cheki hata Tz,...........Tanga Kuna waislam wengi ni jiji,compare na mkoa Kilimanjaro wenye wasomi wengi?
Wakristo wengi wanajua watoto wao kupata division one sekondari ndio utajiri😄😆😅😅
Ok nimekuweke top five African rich countries ,za waislam zipo ngapi na,ya kwanza ni ya kikristo aa kiislam?
Je wewe sio mpumbavu?
Jibu swali mbona unabwekabweka ovyo au umechanganyikiwa?
 
Jibu swali mbona unabwekabweka ovyo au umechanganyikiwa?
Lipokuja suala la maendele waislma wapo mbele ya muda,1000X ..........kipindi Tanganyika wakina Mkapa wanauza migodi yao kwa miaka 99😄😅🤣,Zanzibar kule kwenye waislam 99.98% reserve ya mafuta haijaguswa hata chembe,watu wanavuta subira wawe matajiri wa kutisha...........wakristo wanajuaga watoto wao kuongea kiingereza na kupata division one ndio utajiri😀😄😅😂🤣
80% ya world reserve oil na gases ipo nchi za kiislam.........uislam means haki, na kwenye haki utajiri unakosaje?
 
Back
Top Bottom