SAMIA alisema wa gonjwa wa Corona wapo mwananyamala [emoji2][emoji2][emoji2]Takwimu gani unataka we PIMBI?? SAMIA SULUHU mwenyewe ndio katangaza idadi ya wagonjwa we unataka ipi. wasalimie HAPO KWA MPALANGE
Hii tafiti umeifanyia wapi? Weka scientific evidence/clinical test ili tukuamini.Hii chanjo ya bure wanaotupa free itafubaza uwezo wa asili wa miili yetu kujikinga ili likija wimbi jingine tuteketee au tununue genuine vaccine kwa gharama kubwa sana
Aisee hivi huwa mna uhakika na mnachoongea? Isolated cases una generalize? Unaweza weka source ya taarifa yako?India walibainika kutoa baadhi ya viungo vya binadamu wanaofariki km maini, Figo na MOYO...
Msimamo upi? Mbona Russia,China zimetengeneza chanjo zao bila msaada wa mabeberu na hatujaona viongozi wao "wakimalizwa"?? Kwani JPM ni threat kuliko Xi Jinping ama Putin?huenda pia msimamo wa jpm juu ya corona kwa Tanzania ikawa one of the factor for his death!
Wawatie hofu ili iweje? Hvi baada ya stock markets ku crash hivo ssa faida unapataje kwa kuuza chanjo tu? Loss ya covid imeshaleta hasara ya matrillion of dollars ssa mauzo yote ya chanjo duniani yanaleta faida ya shingapi kufidia mporomoko wa uchumi?Zaidi wamelipwa kuendelea kuwatia hofu wananchi kote duniani.
Israel wamechanjwa zaidi ya 70% na cases zimeshuka mnoo...... Una maoni gani?Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Bila lockdown vingekuwa mara mbili ya hivyo!! Ni sawa na kusema licha ya kwamba matumizi ya condom kuongezeka Tz mbona bado VVU inawadaka watu 72 kila siku!! Je condom ziache kutumika??Mbona lockdown zimewekwa italy na vifo vipo pale pale
Mmepima wangapi? Hili swali la Makamba halijajibiwa mpka wakati huuToka mwaka jana sasa hivi tuna wagonjwa 100 kwa mujibu wa mama..hii tafsiri yake ni kwamba Tanzania tumefanikiwa kuudhibiti huu ugonjwa..meza hiyo kama huwezi tema
Ugonjwa ukiingia usidhuru mwili wako..... Sawa na condom tu. Inaitwa kinga lakini haipo 100% effective ndio maana licha ya matumizi ya condom kuongezeka duniani ila maambukizi ya UKIMWI hayajaisha!!Sasa nini maana ya chanjo
Yawezekana chanjo yao ni nzuri.Israel wamechanjwa zaidi ya 70% na cases zimeshuka mnoo...... Una maoni gani?
India wamefanyaje??[emoji15]Nyie madaktari bingwa, hala hala figo zetu.
Msije tufanya kama India.
Andika vizuri ueleweke, anywaySalamaleku astadhi.....bwana tesu asifiwe...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwingine hakuna sio?SAMIA alisema wa gonjwa wa Corona wapo mwananyamala [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao 100 sawa na 0.0002% approximately =ZEROUnakubali kua kuna wagonjwa 100 wa Covid-19 halafu hapo hapo unasema;
"Corona Tz hamna"
Hivi unajielewa kweli wewe?
Huhitaji utafiti kujua dunia inapoelekea sometimes tunaangalia trendsHii tafiti umeifanyia wapi? Weka scientific evidence/clinical test ili tukuamini.
Nijifukize ili iweje wakati ugonjwa haupo,Wewe endeleza kujifukiza kama mlivyoshauriwa na HAMNAZO.
Sawa kabisa hii game inachechwa na WAKUBWA TU. sisi tunaaminishwa ili wao wapige pesaCorona ni Biashara, ni Dili.
Kenya wanaingiza Billions of money kutoka nje na taarifa zao zingine ni za kupika tu ili waingize pesa.
Ukienda Kenya hali ni kama hii hii ya Tanzania. Wananchi wapo mitaani bila barakoa wala kinga ya maana
Sasahivi Kenya wanamanufucture Syringe zao wenyewe na kuziuzia nchi zingine za Africa, means Corona imewapa akili ya kufungua kiwanda.
Huu ni Mradi, Wallah nawaambia.