#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Hii chanjo ya bure wanaotupa free itafubaza uwezo wa asili wa miili yetu kujikinga ili likija wimbi jingine tuteketee au tununue genuine vaccine kwa gharama kubwa sana
Hii tafiti umeifanyia wapi? Weka scientific evidence/clinical test ili tukuamini.
 
India walibainika kutoa baadhi ya viungo vya binadamu wanaofariki km maini, Figo na MOYO...
Aisee hivi huwa mna uhakika na mnachoongea? Isolated cases una generalize? Unaweza weka source ya taarifa yako?
huenda pia msimamo wa jpm juu ya corona kwa Tanzania ikawa one of the factor for his death!
Msimamo upi? Mbona Russia,China zimetengeneza chanjo zao bila msaada wa mabeberu na hatujaona viongozi wao "wakimalizwa"?? Kwani JPM ni threat kuliko Xi Jinping ama Putin?
Zaidi wamelipwa kuendelea kuwatia hofu wananchi kote duniani.
Wawatie hofu ili iweje? Hvi baada ya stock markets ku crash hivo ssa faida unapataje kwa kuuza chanjo tu? Loss ya covid imeshaleta hasara ya matrillion of dollars ssa mauzo yote ya chanjo duniani yanaleta faida ya shingapi kufidia mporomoko wa uchumi?
 
Mbona lockdown zimewekwa italy na vifo vipo pale pale
Bila lockdown vingekuwa mara mbili ya hivyo!! Ni sawa na kusema licha ya kwamba matumizi ya condom kuongezeka Tz mbona bado VVU inawadaka watu 72 kila siku!! Je condom ziache kutumika??

Sawa lockdown haikusaidia je wafungulie tu? Yaani mnataka wafanyeje? Chanjo pia hamtaki watumie, je mnataka wafanyeje? Maana naona mnalaumu kana kwamba they have a choice
 
Sasa nini maana ya chanjo
Ugonjwa ukiingia usidhuru mwili wako..... Sawa na condom tu. Inaitwa kinga lakini haipo 100% effective ndio maana licha ya matumizi ya condom kuongezeka duniani ila maambukizi ya UKIMWI hayajaisha!!
 
Corona ni Biashara, ni Dili.

Kenya wanaingiza Billions of money kutoka nje na taarifa zao zingine ni za kupika tu ili waingize pesa.

Ukienda Kenya hali ni kama hii hii ya Tanzania. Wananchi wapo mitaani bila barakoa wala kinga ya maana

Sasahivi Kenya wanamanufucture Syringe zao wenyewe na kuziuzia nchi zingine za Africa, means Corona imewapa akili ya kufungua kiwanda.

Huu ni Mradi, Wallah nawaambia.
 
Unakubali kua kuna wagonjwa 100 wa Covid-19 halafu hapo hapo unasema;
"Corona Tz hamna"

Hivi unajielewa kweli wewe?
Hao 100 sawa na 0.0002% approximately =ZERO
Au we unasemaje.

Hope unajua hesabu za DESIMALI
 
Corona ni Biashara, ni Dili.

Kenya wanaingiza Billions of money kutoka nje na taarifa zao zingine ni za kupika tu ili waingize pesa.

Ukienda Kenya hali ni kama hii hii ya Tanzania. Wananchi wapo mitaani bila barakoa wala kinga ya maana

Sasahivi Kenya wanamanufucture Syringe zao wenyewe na kuziuzia nchi zingine za Africa, means Corona imewapa akili ya kufungua kiwanda.

Huu ni Mradi, Wallah nawaambia.
Sawa kabisa hii game inachechwa na WAKUBWA TU. sisi tunaaminishwa ili wao wapige pesa
 
Back
Top Bottom