#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Ni upumbavu kudhani kwamba kwa sababu Tanzania takwimu za ugonjwa na wanaokufa hazitolewi kabisa ukilinganisha na nchi jirani basi tuko salama
India pia walijiona wako salama hivyo misongamano kwenye sikukuu zao kidini na kampeni za kisiasa ikapamba moto na COVID-19 haikufanya ajizi na idadi ya vifo ilifikia zaidi ya laki nne kwa siku.
Chukua tahadhari acha ubishi wa kipumbavu.
Nani amesema tupo salama?na nani anapinga kuwa Tz haipo corona? Tunachokataa ni hizo approach zao ndio na sisi tuzitumie wakati wao hazijawasaidia?!!case ya india huwezi ilinganisha na ya kwetu, na muhindi mtofautishe na mwafika.sisi tahadhari za tokea 2020, ndio hizo hizo zimeweza kutufikisha hapa, hivyo tusitishane bwana!!
 
Unajua kuna dunia hii wainga hawaishi. Dunia yote kuanzia Uchina, Ujapani, India, Uarabuni, Urusi, Ulaya Magharabi, Mashariki ya Kati na Amerika wote wanazungumza lugha moja. Halafu wanatokea wajinga wachache wenye shahada za sayansi za uchochoroni wanawakosoa. Ujinga ulioje huu. Nilimsikia rais Samia juzi alipoulizwa maswali anasema anadhani mtu akijifukiza wakati virus ''wakiwa bado koooni'' kabla hawajaingia kwenye mapafu wanaweza kufa!!! Hii unaweza kuona kabisa ni sayansi ya vichakani na watu hawajui hata kidogo virus wanavyoambukiza na kusambaa ndani ya mwili. Magufuli hivyo hivyo alikuwa anasema ukijifukiza na mvuke wenye temperature 100 degraa cg eti virus hawa-survive!!!! Unaweza kuona kabisa hawajui jinsi virus wanavyoji-attach kwenye cells za mwili
haya mwanasayansi hujui mechanism ya generation ya virus before 72 hours, MAMA na mzee wapo sahihi, na wasingekuwa sahihi nani hakuona dalili za covid vipi amekufa? HOFU HOFU HOFU, bora niogope malaria au ukimwi si coromea hukohuko
 
Approach ipi ambayo mimi nimeandika!? Kutoa data za wagonjwa kila siku na wale waliokufa kivipi haisaidii wakati inaonyesha hali halisi ya ugonjwa nchini? Kuchukua tahadhari kwa kuepuka misongamano na pia kuvaa barakoa na kunawa mikono kila mara ni kivipi tahadhari hizi hazisaidii kupambana na COVID-19!? 😳😳😳

Nani amesema tupo salama?na nani anapinga kuwa Tz haipo corona? Tunachokataa ni hizo approach zao ndio na sisi tuzitumie wakati wao hazijawasaidia?!!case ya india huwezi ilinganisha na ya kwetu, na muhindi mtofautishe na mwafika.sisi tahadhari za tokea 2020, ndio hizo hizo zimeweza kutufikisha hapa, hivyo tusitishane bwana!!
 
Juzi kasema juu juu tu kwamba kuna wagonjwa zaidi ya 100 nchini bila ya kusema wako mikoa ipi na idadi ya waliokufa na kama Serikali inafuatilia watu wa karibu wa hao wagonjwa zaidi ya 100 ili kujua wako salama au tayari wana maambukizi.
Halafu namna alivyotamka hiyo Figure ni kana kwamba hayuko informed vizuri. Unatoa approximation Kwa jambo halisi unakuwa unamaanisha au unaeleza nini? Ina maana hao wagonjwa hawajulikani walipo au kila hospitali walikolazwa wameshindwa kuwahesabu hao wsgonjwa?
 
Kama mwenyewe ulivyosema kwamba "kasema juu juu tu.." sasa hapo tukisema tujadili hilo tutajipa maswali ambayo hakutakuwa na wa kuyajibu.
 
Approach ipi ambayo mimi nimeandika!? Kutoa data za wagonjwa kila siku na wale waliokufa kivipi haisaidii wakati inaonyesha hali halisi ya ugonjwa nchini? Kuchukua tahadhari kwa kuepuka misongamano na pia kuvaa barakoa na kunawa mikono kila mara ni kivipi tahadhari hizi hazisaidii kupambana na COVID-19!? 😳😳😳
Sipingi uvaaji wa barakoa ila nauliza ni ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti kuwa uvaaji wa hizi barakoa tunazovaa zinasaidia katika mapambano ya corona?
 
Eti dhalimu alikuwa sahihi na bado akakimbilia chato kujificha kwa miezi miwili!!! Na kwa ubishi wake wa kutotaka kuvaa masks mwenyewe aliyaita matambara basi COVID-19 haikufanya ajizi bali kulala naye sambamba leo anaitwa MWENDAZAKE!!!! Hakuna anayekutisha ni maisha yako mwenyewe na MAKABURI umeyaona. Chukua hatua muafaka za kujikinga ubishi wa kijinga KAMWE hautakukinga kumbuka zaidi ya watu 3.5 duniani Covid-19 imesitisha uhai wao.
Hivi ni dalili ipi inayokufanya kukubaliana na madai ya kwamba Magufuli alikufa kwa corona? ndio hiyo hoja ya kwamba ukidharau corona utakufa na corona?

Hebu nisaidie na mimi niweze kujua nyie wenzangu mmeona dalili gani katika kifo chake hadi mnasema kinahusika na na corona ?
 
Halafu namna alivyotamka hiyo Figure ni kana kwamba hayuko informed vizuri. Unatoa approximation Kwa jambo halisi unakuwa unamaanisha au unaeleza nini? Ina maana hao wagonjwa hawajulikani walipo au kila hospitali walikolazwa wameshindwa kuwahesabu hao wsgonjwa?
Juzi kati tu kaenda kutembelea hospitali huku akiwa hana taarifa zozote kuhusu uwepo wa wagonjwa wa corona katika hiyo hospitali halafu ghafla anakuja kusema kuna wagonjwa zaidi ya mia wa corona.
 
haya mwanasayansi hujui mechanism ya generation ya virus before 72 hours, MAMA na mzee wapo sahihi, na wasingekuwa sahihi nani hakuona dalili za covid vipi amekufa? HOFU HOFU HOFU, bora niogope malaria au ukimwi si coromea hukohuko
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1756][emoji1756][emoji1756] washenzi wanataka hela zetu na uhai wetu
 
Halafu namna alivyotamka hiyo Figure ni kana kwamba hayuko informed vizuri. Unatoa approximation Kwa jambo halisi unakuwa unamaanisha au unaeleza nini? Ina maana hao wagonjwa hawajulikani walipo au kila hospitali walikolazwa wameshindwa kuwahesabu hao wsgonjwa?
Simply alitakiwa kutoa idadi akatamka ila kiuhalisia haupo huo ugonjwa
 
Kama mwenyewe ulivyosema kwamba "kasema juu juu tu.." sasa hapo tukisema tujadili hilo tutajipa maswali ambayo hakutakuwa na wa kuyajibu.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1303]
 
Sipingi uvaaji wa barakoa ila nauliza ni ushahidi gani wa kisayansi wenye kusapoti kuwa uvaaji wa hizi barakoa tunazovaa zinasaidia katika mapambano ya corona?
Cool man
 
Hivi ni dalili ipi inayokufanya kukubaliana na madai ya kwamba Magufuli alikufa kwa corona? ndio hiyo hoja ya kwamba ukidharau corona utakufa na corona?

Hebu nisaidie na mimi niweze kujua nyie wenzangu mmeona dalili gani katika kifo chake hadi mnasema kinahusika na na corona ?
Achana na propaganda za wafanya buashara wanaowashika WAKUU WANCHI kupotosha ukweli
 
Juzi kati tu kaenda kutembelea hospitali huku akiwa hana taarifa zozote kuhusu uwepo wa wagonjwa wa corona katika hiyo hospitali halafu ghafla anakuja kusema kuna wagonjwa zaidi ya mia wa corona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata hiyo mwaka juzi kama utachunguza vizuri utagundua kuwa kulikuwa na hofu sana kuliko uhalisia wa huo ugonjwa, na ndio maana pale serikali ilipoacha tu kutoa takwimu hali ikawa shwari.
Kabisa mkuu
 
Wataalamu wamefanya utafiti wa kina kuhusu barakoa hawa KUKURUPUKA tu bila utafiti wowote. Na barakoa zimesaidia sana kupunguza maambukizi katika nchi nyingi duniani vinginevyo bila barakoa idadi ya maambukizi na vifo ingekuwa kubwa sana hata kufikia 50 millions au zaidi duniani kote.
1F4A1F86-C0CE-4C9F-8EA0-95690DB3EB6B.jpeg

Back
Top Bottom