#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Walizika wapi maana MOROGORO kuna watu.walisema maeneo ya MIZANI KUNA MAZISHI YA USIKU DK MKUU AKAENDA WAKAAMBIWA WAONESHE MAKABURI YALIPO WAKASHINDWA.
Katika hili, nashawishika kuamini kuwa Kuna watu wanna maslahi na hii inayoitwa Corona.

Kuna watu wanalipwa na wengine wamenunuliwa hata wale wa upinzani dunia yote ili kutoongea chchote kinyume na wanayoona kuwa hayakosawa juu ya hili gonjwa!

Zaidi wamelipwa kuendelea kuwatia hofu wananchi kote duniani.

Wanalipwa pesa nzuri TU, kuendelea kuuza watu.India walibainika kutoa baadhi ya viungo vya binadamu wanaofariki km maini, Figo na MOYO...kwa kuwa serikali ndyo ilikuwa inazika, hivyo ndgu hawazezi jua lolote.

Mungu atusaidie.
Na huenda pia msimamo wa jpm juu ya corona kwa Tanzania ikawa one of the factor for his death!
 
Ugumu wake uko wapi[emoji3480]: ukiweka rockdown nategemea kuona reduced cases, ukichanja nataraj kuona upungufu wa visa, nisipoyaona haya nitakua yuko mtu ananidanganya
Mbona lockdown zimewekwa italy na vifo vipo pale pale
 
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.

Tanzania mbona watu wanadunda tu mtaani bila tahadhali yoyote na hatuone wagonjwa kama ilivyokuwa katika "wimbi" la kwanza?

Hatuoni Kila duka/ kibanda/ofisi kuwa na ndoo zenye maji na zinazotumiwa kikamilifu na kila mtumiaji.
Barakoa wanatumia watu wachache saaana
vitakasa mikono huvioni kama zani vilikuwa ninaning'inia kwenye luksi kama keyholder, mikono ya pochi za wanawake.

Ila matangazo kwa upande ya mataifa mbalimbali yamekomalia saana uwepo wa hii kitu hapa TZ

imagine MAMA juzi kasema TZ kuna wagonjwa 100 tu

100/50,000,000 = 0.0002%

DISCO, kama kawa, mwendokasi kama kawa, njumba za Ibada kama kawa full nyomi .

na kwa kuudhihirishia ulimwengu waje KWA MKAPA 03.07.2021 washangae

CORONA TZ HAMNA. kama mnataka fedha za COVAX fine ila MSITUTISHE!!!!!

KWA HILI NASIMAMA NA DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
=================================

Chanjo tunazopewa sasa bure ni weak and wao wenyewe hawazitumii ni kwa ajili ya kufubaza kinga zetu za asili ili the so called "NEXT WAVE" ikija tupukutike kama kuku wa mdondo and THEN CHANJO ZITAKUWA VERY EXPENSIVE.

HAPO NDIO TUTAKAPOPIGWA PESA MAANA ITAKUWA[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

BUY OR DIE!!!!!
Wake up guys, hujiulizi kwanini tunabembelezwa kuchanjwa??
Co kweli Tz corona ipo. Na iyo takwimu ya kusema Tz kuna wagonjwa 100 tu. Je kila hospital wanapima corona?? Siajabu iyo ni kwa muhimbili tu je vp kwa hospitali nyingne.

Nchi za jirani tunaona idadi ya maambukizi inaongezeka ni kwasabab wanatoa takwimu. Tz mara ya mwisho kutoa takwimu za corona ni lini. Maan alichoongea samia amegusia tu juu juu hajaingia deep.
Lazima tuwe makini Watanzaia mwenye machoo haambiwi tazama.

Naomba kuwasilisha
 
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu fuatilia nandy festival anawasha kila mkoa mpira kama kawaida watazamaji hakuna waziri mkuu wala makamu wa raisi anavaa mibarakoa yake labda aanze kuzika majeneza feki ndio atafanikiwa bila hivyo atuache tuu mama sisi hatuna shida nae kabisa hili taifa teule Mungu amelibariki
 
Huwezi kuacha kuzaa kwa sababu baadhi ya watoto hufariki kabla ya kufikisha umri wa miaka 5, au kuacha kuoa kwa sababu baadhi ya ndoa zinavunjika, au kuacha kusafiri kwa baiskeli, pikipiki, gari, ndege, meli etc kwa sababu ya ajali zinazotokea...Akina mama wangapi wanafariki wakati wa kujifungua? Kwa upande wangu, kusema kisu ni kibaya kwa sababu watu kadhaa walishajeruhiwa kwa kisu si sababu pekee ya kufanya kisu kiwe kibaya.
 
Achana napropaganda za wazungu kwanza washaanza kusema ili uwe fully immuned at least upige dose kuanzia 3 na kuendelea. So it is all about bussiness dozi moja ni Tsh.400k
So ina madhara kwa afya kama hamna why tusichanjwe ikumbukwe hio
400k haitoki from your own pocket ni jukumu la serikali yako.
 
Huwezi kuacha kuzaa kwa sababu baadhi ya watoto hufariki kabla ya kufikisha umri wa miaka 5, au kuacha kuoa kwa sababu baadhi ya ndoa zinavunjika, au kuacha kusafiri kwa baiskeli, pikipiki, gari, ndege, meli etc kwa sababu ya ajali zinazotokea...Akina mama wangapi wanafariki wakati wa kujifungua? Kwa upande wangu, kusema kisu ni kibaya kwa sababu watu kadhaa walishajeruhiwa kwa kisu si sababu pekee ya kufanya kisu kiwe kibaya.
 
Katika hili, nashawishika kuamini kuwa Kuna watu wanna maslahi na hii inayoitwa Corona.

Kuna watu wanalipwa na wengine wamenunuliwa hata wale wa upinzani dunia yote ili kutoongea chchote kinyume na wanayoona kuwa hayakosawa juu ya hili gonjwa!

Zaidi wamelipwa kuendelea kuwatia hofu wananchi kote duniani.

Wanalipwa pesa nzuri TU, kuendelea kuuza watu.India walibainika kutoa baadhi ya viungo vya binadamu wanaofariki km maini, Figo na MOYO...kwa kuwa serikali ndyo ilikuwa inazika, hivyo ndgu hawazezi jua lolote.

Mungu atusaidie.
Na huenda pia msimamo wa jpm juu ya corona kwa Tanzania ikawa one of the factor for his death!
Mkuu wakuu wengi.wa.NCHI wamelishwa pesa kututisha kuhusu uwepo wa KORONA ila hatuioni
 
Co kweli Tz corona ipo. Na iyo takwimu ya kusema Tz kuna wagonjwa 100 tu. Je kila hospital wanapima corona?? Siajabu iyo ni kwa muhimbili tu je vp kwa hospitali nyingne.

Nchi za jirani tunaona idadi ya maambukizi inaongezeka ni kwasabab wanatoa takwimu. Tz mara ya mwisho kutoa takwimu za corona ni lini. Maan alichoongea samia amegusia tu juu juu hajaingia deep.
Lazima tuwe makini Watanzaia mwenye machoo haambiwi tazama.

Naomba kuwasilisha
Achia mbali "TAKWIMU"unaona ATHARI MTAANI WAKO???? kuwa MKWELI
 
Huwezi kuacha kuzaa kwa sababu baadhi ya watoto hufariki kabla ya kufikisha umri wa miaka 5, au kuacha kuoa kwa sababu baadhi ya ndoa zinavunjika, au kuacha kusafiri kwa baiskeli, pikipiki, gari, ndege, meli etc kwa sababu ya ajali zinazotokea...Akina mama wangapi wanafariki wakati wa kujifungua? Kwa upande wangu, kusema kisu ni kibaya kwa sababu watu kadhaa walishajeruhiwa kwa kisu si sababu pekee ya kufanya kisu kiwe kibaya.

Kama huwezi kujifunza kwa yanayowakuta wengine...

Achia mbali "TAKWIMU"unaona ATHARI MTAANI WAKO???? kuwa MKWELI
Swali gumu kidogo. Athari zipi za misiba kutokan na corona au watu kuchukua taadhari ya corona.
Me naona watu wako at least wako wanachukua tahadhari sehemu za kutolea huduma kam madukani nk
 
Toka mwaka jana sasa hivi tuna wagonjwa 100 kwa mujibu wa mama..hii tafsiri yake ni kwamba Tanzania tumefanikiwa kuudhibiti huu ugonjwa..meza hiyo kama huwezi tema
 
Back
Top Bottom