Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 649
Katika hili, nashawishika kuamini kuwa Kuna watu wanna maslahi na hii inayoitwa Corona.Walizika wapi maana MOROGORO kuna watu.walisema maeneo ya MIZANI KUNA MAZISHI YA USIKU DK MKUU AKAENDA WAKAAMBIWA WAONESHE MAKABURI YALIPO WAKASHINDWA.
Kuna watu wanalipwa na wengine wamenunuliwa hata wale wa upinzani dunia yote ili kutoongea chchote kinyume na wanayoona kuwa hayakosawa juu ya hili gonjwa!
Zaidi wamelipwa kuendelea kuwatia hofu wananchi kote duniani.
Wanalipwa pesa nzuri TU, kuendelea kuuza watu.India walibainika kutoa baadhi ya viungo vya binadamu wanaofariki km maini, Figo na MOYO...kwa kuwa serikali ndyo ilikuwa inazika, hivyo ndgu hawazezi jua lolote.
Mungu atusaidie.
Na huenda pia msimamo wa jpm juu ya corona kwa Tanzania ikawa one of the factor for his death!