EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #201
Meaning???Ni upumbavu tu kujadili corona Tanzania. Tha scared intelligent scholars act unintelligently.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meaning???Ni upumbavu tu kujadili corona Tanzania. Tha scared intelligent scholars act unintelligently.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wanaugua wooote tena waliochanjwa kwa kenya na uganda wanalalamika hedhi kupotea na wanaume kupoteza nguvu za kiumeNipe jibu wanaugua ni waliochanja au ambao hawajachanja? Ukipata jibu usijesema hukuambiwa
Acha kujitia hamnazo wewe,hivi unajua maana ya kauli yako kuwa "Tanzania hakuna corona?"Hao 100 sawa na 0.0002% approximately =ZERO
Au we unasemaje.
Hope unajua hesabu za DESIMALI
Acha porojo wewe.Lakini hayo ndio madhaifu ya chanjo za bure,tenhenezeni za kwenuWanaugua wooote tena waliochanjwa kwa kenya na uganda wanalalamika hedhi kupotea na wanaume kupoteza nguvu za kiume
Hizo vaccine zinakuzuwia virus wasikudhuru,zinasupport immune sysyem kupigana na hao virus,sio kwamba zinazuwia virus wasikupate,Wanaugua wooote tena waliochanjwa kwa kenya na uganda wanalalamika hedhi kupotea na wanaume kupoteza nguvu za kiume
Hapo kwenye nguvu za kiume sasa itasababisha watu wengi tusichanjwe...Wanaugua wooote tena waliochanjwa kwa kenya na uganda wanalalamika hedhi kupotea na wanaume kupoteza nguvu za kiume
Hivi unajua kuwa ukichanjwa chanjo ya India ULAYA na NORTH AMERIKA HUENDI??Acha porojo wewe.Lakini hayo ndio madhaifu ya chanjo za bure,tenhenezeni za kwenu
Kwani hizi chanjo za watoto zimetoka kwa mtogole?Achana napropaganda za wazungu kwanza washaanza kusema ili uwe fully immuned at least upige dose kuanzia 3 na kuendelea. So it is all about bussiness dozi moja ni Tsh.400k
kwaio siugui na SIFI sio??Kumbuka unaweza ukawa na Covid-19 ila usiwe na any symptoms,
Natilia mashaka UELEWA WAKOAcha kujitia hamnazo wewe,hivi unajua maana ya kauli yako kua "Tz hakuna corona?"
Naomba takwim zako maana MAMA alisema ni 100Haya ni mambo ya kitaalamu sio mambo ya kubwabwaja tu,virus hawapimwi kwa macho,
Figure za waliopata maambukizi hupatikana kwa kufanya mass testing,Naomba takwim zako maana MAMA alisema ni 100
Usikomalie kwamba kila kinga ni mbaya ila SIDE EFFECT si umezisikia, Je, nchi zilizochanjwa maabukizi yamepungua.Hizo vaccine zinakuzuwia virus wasikudhuru,zinasupport immune sysyem kupigana na hao virus,sio kwamba zinazuwia virus wasikupate,
Mbona pia watu hulalamika kua Condom hua zinawapasukia ila hujaanzisha Thd ya kupinga matumizi ya Condom?
Condom haizuwii maambukizi wa HIV virus kwa 100% mbona hilo hulipingi?
Usibadilishe mada mkuu Tunazungumizia KORONA.Kwani hizi chanjo za watoto zimetoka kwa mtogole?
Uwezo wako wa uelewa na kuchanganua mambo is too low,hii mada ni kubwa sana kwako,sidhani kama hata ukieleweshwa utaelewa,coz akili yako umesha iseti kwenye fixed mind mentality.Natilia mashaka UELEWA WAKO
Hii taarifa ni kweli kwa sababu chanjo sio lazima bado kuna wengi hawajachanja na ndio shida waliochanja hata kusafiri ndani ya EU free no PCR. tumeshaambiwa siku tukichanja sote covid itakuwa kama flu tu.Na ile taarifa iliyotolewa juzi katika kituo kimoja cha habari nchini Marekani ya kwamba wanaopoteza maisha kwa Covid 19 ni wale ambao hawakupata chanjo,mtoa uzi huu unalizungumziaje kwa upande wako
Una akili nzito sana ya uelewa aisee.Usikomalie kwamba kila kinga ni mbaya ila SIDE EFFECT si umezisikia, Je, nchi zilizochanjwa maabukizi yamepungua.
chukulia mifano ya KENYA, UGANDA NA RWANDA halafu linganisha na TZ
UJE NA MAJIBU SIO KUBISHANA
Naomba TAKWIMU ZAKO sio unaniuliza maswali.Figure za waliopata maambukizi hupatikana kwa kufanya mass testing,
Wewe umewahi kupimwa PCR TEST?
Ni utafiti upi huo mkuu uliyofanywa?Wataalamu wamefanya utafiti wa kina kuhusu barakoa hawa KUKURUPUKA tu bila utafiti wowote. Na barakoa zimesaidia sana kupunguza maambukizi katika nchi nyingi duniani vinginevyo bila barakoa idadi ya maambukizi na vifo ingekuwa kubwa sana hata kufikia 50 millions au zaidi duniani kote. View attachment 1837122