#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Hao 100 sawa na 0.0002% approximately =ZERO
Au we unasemaje.

Hope unajua hesabu za DESIMALI
Acha kujitia hamnazo wewe,hivi unajua maana ya kauli yako kuwa "Tanzania hakuna corona?"

Halafu utapataje accurate figure ya wanaougua Covid-19 ikiwa hamfanyi mass testing?

Kumbuka unaweza ukawa na Covid-19 ila usiwe na any symptoms,

Haya ni mambo ya kitaalamu sio mambo ya kubwabwaja tu,virus hawapimwi kwa macho,

Acha kuipotosha jamii,wewe endelea kufuga ujinga peke yako tu,usiwaambukize na wengine.
 
Corona ipo na inaua sana tu sema hatutishiki na tusitishike koz ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu
 
Wanaugua wooote tena waliochanjwa kwa kenya na uganda wanalalamika hedhi kupotea na wanaume kupoteza nguvu za kiume
Hizo vaccine zinakuzuwia virus wasikudhuru,zinasupport immune sysyem kupigana na hao virus,sio kwamba zinazuwia virus wasikupate,

Mbona pia watu hulalamika kua Condom hua zinawapasukia ila hujaanzisha Thd ya kupinga matumizi ya Condom?

Condom haizuwii maambukizi wa HIV virus kwa 100% mbona hilo hulipingi?
 
Acha porojo wewe.Lakini hayo ndio madhaifu ya chanjo za bure,tenhenezeni za kwenu
Hivi unajua kuwa ukichanjwa chanjo ya India ULAYA na NORTH AMERIKA HUENDI??

They consider it as weak and meant for third world countries.

kuna baadhi ya chanjo zimepigwa narufuku kwenye baadhi ya mataifa makubwa

Ulaya kwenyewe kuna nchi zinatengeneza chanjo zao
 
Hizo vaccine zinakuzuwia virus wasikudhuru,zinasupport immune sysyem kupigana na hao virus,sio kwamba zinazuwia virus wasikupate,

Mbona pia watu hulalamika kua Condom hua zinawapasukia ila hujaanzisha Thd ya kupinga matumizi ya Condom?

Condom haizuwii maambukizi wa HIV virus kwa 100% mbona hilo hulipingi?
Usikomalie kwamba kila kinga ni mbaya ila SIDE EFFECT si umezisikia, Je, nchi zilizochanjwa maabukizi yamepungua.

chukulia mifano ya KENYA, UGANDA NA RWANDA halafu linganisha na TZ
UJE NA MAJIBU SIO KUBISHANA
 
Kwani hizi chanjo za watoto zimetoka kwa mtogole?
Usibadilishe mada mkuu Tunazungumizia KORONA.

Kwa wazungu waliochanjwa je hawaugui tena????

hizo za watoto wazungu hawatumii walishavuka huko
 
Na ile taarifa iliyotolewa juzi katika kituo kimoja cha habari nchini Marekani ya kwamba wanaopoteza maisha kwa Covid 19 ni wale ambao hawakupata chanjo,mtoa uzi huu unalizungumziaje kwa upande wako
Hii taarifa ni kweli kwa sababu chanjo sio lazima bado kuna wengi hawajachanja na ndio shida waliochanja hata kusafiri ndani ya EU free no PCR. tumeshaambiwa siku tukichanja sote covid itakuwa kama flu tu.
 
Usikomalie kwamba kila kinga ni mbaya ila SIDE EFFECT si umezisikia, Je, nchi zilizochanjwa maabukizi yamepungua.

chukulia mifano ya KENYA, UGANDA NA RWANDA halafu linganisha na TZ
UJE NA MAJIBU SIO KUBISHANA
Una akili nzito sana ya uelewa aisee.
 
Wataalamu wamefanya utafiti wa kina kuhusu barakoa hawa KUKURUPUKA tu bila utafiti wowote. Na barakoa zimesaidia sana kupunguza maambukizi katika nchi nyingi duniani vinginevyo bila barakoa idadi ya maambukizi na vifo ingekuwa kubwa sana hata kufikia 50 millions au zaidi duniani kote. View attachment 1837122
Ni utafiti upi huo mkuu uliyofanywa?
 
Back
Top Bottom