Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarii mwanamaee..... Hbr yafo mekuUchagani haswa kwa warombo kila ndizi kule ina matumizi yake kwenye kupika. Matoke, mlali ,mshare ,kinairobi, nyoro, kitarasa ni favorite kwa mlo wa kawaida au machalari.
Halafu kunayo inaitwa mkonosi hii ni special kwa mtori/kiburu/kibulu na pia kuchoma au ku fry zikiwa mbivu na pia kutengeneza mbege.
Halafu kuna wanaziita kimulia na zenyewe ni suitable kwa mtori. Pia kuna ndizi mtotoo ambazo nadhani ni ng'ombe hizi ni best katika kutengeneza mbege . Doh nimepakumbuka huko.
Matoke ile ya Bukoba? Sijui wenyeji wanapendea nini! Nishazila mara kadhaa! Ladha yake sasa, unaona Bora unywe uji kuliko hiyo ndizi. Kwa aliyezoea MSHARE matoke ni "mabaya"ndizi matokeo Haina mpinzani.
unafahamu matoke yamkoa Gani?Matoke ile ya Bukoba? Sijui wenyeji wanapendea nini! Nishazila mara kadhaa! Ladha yake sasa, unaona Bora unywe uji kuliko hiyo ndizi. Kwa aliyezoea MSHARE matoke ni "mabaya"
Msharee acha kabisaa..... Machalariii hayo[emoji39][emoji39]..... Nipate na mbege....Matoke ile ya Bukoba? Sijui wenyeji wanapendea nini! Nishazila mara kadhaa! Ladha yake sasa, unaona Bora unywe uji kuliko hiyo ndizi. Kwa aliyezoea MSHARE matoke ni "mabaya"
Nilitoka Moshi nkamletea ndz mshare muhayaaa mmja..... Akaniambia Mimi haya siweziii mbn km sio km ndiz za bukobaa..... ntakula mabukobaaMatoke ile ya Bukoba? Sijui wenyeji wanapendea nini! Nishazila mara kadhaa! Ladha yake sasa, unaona Bora unywe uji kuliko hiyo ndizi. Kwa aliyezoea MSHARE matoke ni "mabaya"
Ya Bukoba na Mutukulaunafahamu matoke yamkoa Gani?
Sizipendi! Ladha yake haivutii.ndizi matokeo Haina mpinzani.
😂😂😂Nilitoka Moshi nkamletea ndz mshare muhayaaa mmja..... Akaniambia Mimi haya siweziii mbn km sio km ndiz za bukobaa..... ntakula mabukobaa
lushoto zipo nitam sanaaaaaYa Bukoba na Mutukula
Zipo za Musoma ila kwa waatalamu waliotokea Moshi unajua apa umepigwaMwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake.
Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza mwaka 2010. Nilishangaa nilipokuta ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro zinatumika kwa kupikia mtori au kuvundikwa kwa ajili ya kutengenezea pombe. Nilikula kwa kuwa sikuwa na namna, isitoshe, nilikuwa ugenini na ziliandaliwa kwa ajili yangu.
Tokea nikiwa mdogo, nilikuwa nikijua kuwa ndizi zinazotumika kupikia "ndizi" ni NDIZI MSHARE, KIMALINDI, n.k., lakini si ndizi ng'ombe.
Ni kwa nini hizo ndizi hazipatikani Kanda ya Ziwa?
nilaini unaweza kula ikiwa hata Haina chumvi wala mafutaSiku nikienda huko nitazitafuta.
Wewe ndio uache ubishi ni mshare sio mshale.Usiwe mbishi, ni mshale sio mshare!.
Kama anavyoshangaa ndivyo nami nilishangaa Kilimanjaro wanavyokula ndizi ngumuuu eti hadi za kukaanga ndio hizohizo🙆🙆🙆Tembea uone.
Mimi mpaka leo nashangaa hao wa rugaruga wana kula je hizo ndizi ngumu kama miogo, mwanzoni ni lidhani na kwa ajili ya walevi kukatia hungerover zao za pombe, mpaka nilivo ona mama mjamzito naye anazila ndo ni kajifunza kwamba.
Hujafa hujaumbika
Nachoona ni kawaida kila mmoja kuvutia kwake,Kama anavyoshangaa ndivyo nami nilishangaa Kilimanjaro wanavyokula ndizi ngumuuu eti hadi za kukaanga ndio hizohizo🙆🙆🙆
Unakula ndizi zinabaki zimesimama tumboni!! Halafu hazina hata ladha.