Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅

Yes!

Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
 
Back
Top Bottom