Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
10,703
Reaction score
11,816
Hili ni swali naomba majibu.

Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?

Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.

Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?

Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.

Asante.

NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuli😎😎
 
20250612_190153.jpg
 
Haya sasa akina Equation x Rayns Vincenzo Jr Nyamwi255 Ngurukia DeepPond Natafuta Ajira Zemanda Msweet sweery PSL god Intelligent businessman Half american Poor Brain

Na wengine mje uzi mjibu uzi huu
 
Back
Top Bottom