Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

Hili ni swali naomba majibu.

Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?

Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.

Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?

Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.

Asante.

NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuli😎😎
Kale kakitu kao kana uhai wake wenyewe. Ukikafunika kanavunda.
 
Hili ni swali naomba majibu.

Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?

Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.

Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?

Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.

Asante.

NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuli😎😎
Hivi una umri gani mwenzetu, ulishabalehe tayari?
 
ni kwa sababu umezaliwa juzi juzi, zamani hizo suruali hazikuwepo, zililetwa na wazungu. hadi wanaume walikuwa wanavaa mavazi ambayo chini hakujafunikwa. nimezaliwa nikiona hivyo. pia kuna kanzu, kuna migolole etc vyote havifuniki chini. suluari zimeletwa na wazungu, sio utamaduni wetu. kuhusu makufuli, hata babu yako ukimuuliza atakuambia kipindi cha ujana wake hakuwahi kuvaa kufuli, ni kitu cha kawaida icho wala sio kwamba alikuwa anahitaji hewa.
 
Hili niliwah kuliwaza,nikahis huenda aliebuni haya mavaz yao alitaka waliwe kirahis au alitaka mara moja moja tuwe tunaona vya ndani
 
Back
Top Bottom