Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

Mie tena sio mtoa mada jamani!!!!!!
IMG_20250615_020540.JPG
IMG_20250615_020624.JPG
IMG_20250615_020646.JPG
IMG_20250615_020730.JPG
IMG_20250615_020624.JPG
 
Mwanamke maumbile yake kuna acud na gesi inaitwa Leukotrinestimulation ambayo ni hatari sana kama itabaki kwenye uke inaweza ikaunguza kitumbua so wanashauri wavar nguo ya wazi kwa chini kupunguza hiyo hali . Na ndo maana wale wanaovaa suruali kwa muda mrefu huwa na visamaki + ng'onda.

NB:Shule kubwa sana😎
 
Uwape sasa hiyo shule waelewe
So kwanini zipo wazi chini??
 
ni kwa sababu umezaliwa juzi juzi, zamani hizo suruali hazikuwepo, zililetwa na wazungu. hadi wanaume walikuwa wanavaa mavazi ambayo chini hakujafunikwa. nimezaliwa nikiona hivyo. pia kuna kanzu, kuna migolole etc vyote havifuniki chini. suluari zimeletwa na wazungu, sio utamaduni wetu. kuhusu makufuli, hata babu yako ukimuuliza atakuambia kipindi cha ujana wake hakuwahi kuvaa kufuli, ni kitu cha kawaida icho wala sio kwamba alikuwa anahitaji hewa.
Mimi sijauliza wanaume na mababu.

Nimeuliza mabibi na wanawake, shabash😎
 
Mimi sijauliza wanaume na mababu.

Nimeuliza mabibi na wanawake, shabash😎
ndio nakuelewesha kwamba wanaovaa nguo chini hakujafunikwa sio wanawake tu hata wanaume, kwanini shida yako ipo kwa wanawake tu kama sio roho ya uzinzi imekutawala?
 
ndio nakuelewesha kwamba wanaovaa nguo chini hakujafunikwa sio wanawake tu hata wanaume, kwanini shida yako ipo kwa wanawake tu kama sio roho ya uzinzi imekutawala?
Hiyo roho ya uzinzi inatoka akili mwako kwa ushirikiano na viungo vyako kama mikono na uzazi.

Narudia tena, ninauliza nikiwa na akili iliyo kamili.

Kwanini nguo za kike zinabuniwa zikiwa wazi chini?

Kama unataka uzinzi tafuta uzi wa wazinzi wenzio. Hapa tunajadili nguo za wanawake kuwa wazi chini.
 
Back
Top Bottom