Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

Hili ni swali naomba majibu.

Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?

Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.

Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?

Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.

Asante.

NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuli😎😎
Ndio maana me nikiona tight ya mwanamke, nakuwa sina mzuka tena
 
Hili ni swali naomba majibu.

Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?

Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.

Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?

Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.

Asante.

NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuli😎😎
Ili kupunguza maeneo ya uchumi wa kati.
 
Back
Top Bottom