Haya sasa akina Equation x Rayns Vincenzo Jr Nyamwi255 Ngurukia DeepPond Natafuta Ajira Zemanda Msweet sweery PSL god Intelligent businessman Half american Poor BrainHili ni swali naomba majibu.
Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?
Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao huwa wazi chini
.
Na hata kuna wengine huwa hawavai hata makufuri (chupi), kwahiyo kubaki wazi kabisa.
Je, ni uhitaji wa hewa, utamaduni tu wa dunia, maumbile ya kike au kuna jambo la kiafya?
Naomba tufahamishane kwa wenye uelewa.
Asante.
NB. Usiniulize habari ya kanzu na misuliππ
Jibu la uongo sana hiliIli papuchi isioze Kwa joto.
Qmmk π π πNdo maana wanaishi miaka mingi.. ni kama antena inakamata mawimbi kutoka ardhini.
Kwa hiyo hunipi hata nusu alama kwenye hili point yangu.Jibu la uongo sana hili
Kwa hiyo unataka kusemaje bwana da Vinci?Mkuu kumbuka kua vazi asilia ya mwanadamu ni Kanzu!
(Nguo ambazo zipo wazi kwa chini)
Yaani huwezi amini nimekufananisha na hiko kindegemtu kwenye avatar yakoKwa hiyo hunipi hata nusu alama kwenye hili point yangu.
Hahaha ππ€£, hata hiyo vijana wa humu akina Monetary doctor wananiita ndege, duh!Yaani huwezi amini nimekufananisha na hiko kindegemtu kwenye avatar yako
Ndege mzuriiHahaha ππ€£, hata hiyo vijana wa humu akina Monetary doctor wananiita ndege, duh!