Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Mguruwe huzaa kulingana na idadi ya matiti yake!
Akiwa na matiti 12, atazaa watoto 12 na kila mtoto ananyonya titi lake, ng’ombe ana matiti manne ila anazaa mtoto mmoja, nadra sana kizaa watoto wawili so anakuwa na maziwa ya ziada ndio hukamuliwa! Nguruwe hawezi kuwa na maziwa ya ziada
 
Huyo mdudu ana laana😂
 
Ukiamua kamua,hakuna anayekukataza mbona sababu inajitosheleza otherwise we ni complete moron
Look at this dunderhead.
Usikute hata essay wewe ulikua unapata 2/20.
Jibu halijitoshelezi.
Hata ng'ombe wa kawaida hutoa maziwa hafifu.
Watu wakaja na mbinu ya kufuga ng'ombe wa maziwa tu ili atoe maziwa mengi.
Kwanini kwa nguruwe wasifanye hivyo!?
Akili fupi kama mkojo wa asubuhi.
 
Kajaribu uguse hizo naniliu za kukamulia uone kama hajakujeruhi, nguruwe ni haram !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…