Scientifically proved ni kuwa pork meat ulaji wake iwe kidogo au kwa wingi hupelekea excess accumulation of fats resulting to obesity and cardiovascular diseases.Hapana mkuu. Hiyo ni scientifically proved. Hata kanuni za kiafya zinaafiki hilo pasi na shaka.
yes sir!!! also there are very dangerous worms in pork meat."yaani kuna minyoo hatari mno kwenye nyama ya nguruwe ambao makazi yao huwa wanakimbilia kujificha kwenye ubongo wa binadamu ambapo hupelekea ata kifo"Scientifically proved ni kuwa pork meat ulaji wake iwe kidogo au kwa wingi hupelekea excess accumulation of fats resulting to obesity and cardiovascular diseases.
Na fats za pork meat ni bad fats.
Sio kama beef meat ukizidisha ina results into obesity only or overweight.
Mkuu; tunazungumzia maziwa au vp. Habari za nyama ni baadaye.Scientifically proved ni kuwa pork meat ulaji wake iwe kidogo au kwa wingi hupelekea excess accumulation of fats resulting to obesity and cardiovascular diseases.
Na fats za pork meat ni bad fats.
Sio kama beef meat ukizidisha ina results into obesity only or overweight.
Madhara ya vingine vinavyoliwa ni common na hayana excrutiate consequences kama nyama ya nguruwe.Mkuu; tunazungumzia maziwa au vp. Habari za nyama ni baadaye.
Hata hivyo mkuu, zingatia kwamba chochote kile(Anything) mtu anachokula bila kuzingatia kiasi huweza (i.e. sio lazima) kupata madhara. Uliza chochote kile (food) alacho mtu nikuambie madhara yake.
Aaah au siyo!?Naona ISIS wameshavamia uzi wa kumkandia my wetu na viutaalam uchwara vya kuchambua nyama yake hapo ukikagua vyeti vyao wa F 6 na D1, nyama wale wemgine allergy mpate nyie mnachekesha
Ni sahihi mkuu kwasababu nyama ya nguruwe yenyewe ina vimelea vya minyoo yenyewe kama yenyewe.yes sir!!! also there are very dangerous worms in pork meat."yaani kuna minyoo hatari mno kwenye nyama ya nguruwe ambao makazi yao huwa wanakimbilia kujificha kwenye ubongo wa binadamu ambapo hupelekea ata kifo"
SawaaaTake this: Bila kujali chanzo cha maziwa; maziwa YOTE ni chakula na mtu akitaka anaweza kuyala bila shida yoyote na hakuna madhara.
Sasa tukianza kuingiza humo mambo ya Imani, Mila, Desturi na Ubinafsi ndo hapo tunakuwa na kutengana - Ila maziwa yatabaki kuwa ni maziwa na ni chakula. Ni juu yako ww binafsi uamue kusuka au kunyoa.
Ana tuzo yake ya heshima nyama tamu duniani!Aaah au siyo!?
πππππ
Je, Ni kila nyama ya nguruwe ( i.e. every pork, bacon or swine meat) au ni specific (only and if only) kwa nyama ya nguruwe aliye na uambukizo wa minyoo hiyo?Ni sahihi mkuu kwasababu nyama ya nguruwe yenyewe ina vimelea vya minyoo yenyewe kama yenyewe.
Kuna nyama hujazigusa wewe nadhani.Ana tuzo yake ya heshima nyama tamu duniani!
ni ubunifu tu we anza kumkamua utaona watu wakiiga kumkamuaNajua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?
Mwenye majibu atujuze tafadhali.
View attachment 3044191
Bacon huwa ni ngumu sana kuleta shida hiyo tuitoe.Je, Ni kila nyama ya nguruwe ( i.e. every pork, bacon or swine meat) au ni specific (only and if only) kwa nyama ya nguruwe aliye na uambukizo wa minyoo hiyo?
Huna hadhi ya kubishana na mimi we jobless,kama vipi kamkamue kwani umezuiwa?kamua punda Son of bitch.Pita pembeni dunderhead wewe usiyeweza kujiongeza kifikra.
Ulitumwa uni quote!?Huna hadhi ya kubishana na mimi we jobless,kama vipi kamkamue kwani umezuiwa?kamua punda Son of bitch.
Kwamba waliotoa tuzo wamekula nguruwe tu maishani mwaoπ π π π€£Kuna nyama hujazigusa wewe nadhani.
Ngamia umewahi mtia kinywani!?
Kwanza waliotoa tuzo kuna nyama nyingi hawajagusa dadaangu na I bet ngamia nyama ya kwanza,maana nchi nyingi zinachukulia ngamia nyama ya kiislamu/kiarabu πππππππ.Kwamba waliotoa tuzo wamekula nguruwe tu maishani mwaoπ π π π€£
Kuna ubunifu mwingine haulipi mkuu.ni ubunifu tu we anza kumkamua utaona watu wakiiga kumkamua
kweli mwanangu,kuna majamaa walianzishaga mradi kuzalisha maziwa ya mende!!! matokeo yake wakawa wamepiga upepo rangi!!Kuna ubunifu mwingine haulipi mkuu.