Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Huwa natafta sheikh mmoja aniambie, Tourat ndio msingi wa sheria za Mungu. Kwa msingi huo hata samaki Kambale ni haram, Sungura ni haram, Bata ni haram kuliwa, lakini mbona wenzetu wamemshikilia Kitimoto pekeake? Hii sio haki
Yesu alivitakasa vyote mkuu. Turudi kwenye agenda husika Sasa.
 
Your lost
Wale hawana cha sokoni wananunuliwa moja kwa moja mabandani jinsi walivyo na thamani
 
Nchi ina waislam na waislam hawapendi nguruwe ndio maana hauzwi minadani kama wanyama wengine. Ila hapohapo mnadani utakuta kuna eneo nyama za nguruwe zinauzwa na kuliwa hadharani
Hapo ndo msingi wa swali langu. Tutoke tu Nje na Imani zetu kidogo maana. Nyama kuuzwa inauzwa bila kificho kabisa na mabango makubwa tu. Lkn mnadani huwezi ona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…