Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

kwa sababu nguruwe ni myama mtakatifu
 
umeshawahi kuona bangi ikiuzwa sokoni pamoja na mchicha na nyanya
 
Wakristo hatupeleki Nguruwe mnadani kwasababu tunawastahi wenzetu wasio mtumia huyo mnyama kama kitafunwa.
Lakini nyama yake mnadani ipo watu wanachoma kama kawaida. Hii ndo inaleta ukakasi zaidi. Karibia minada yote wanayochoma nyama ni ngumu sana kukosa nyama ya kitimoto mkuu.

Kwenye maonyesho ya nanenane wapo wengi tuu wanauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…