Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Ukisema najis Kuna watu wengine hawana Imani ya dini hizo.

Ukija kwenye utulivu mbona kwenye nanenane Huwa tunawaona wamedhibitiwa vizuri tu?
 
Tukiondoa sababu za Imani Kuna sababu nyingine Nje na hapo maana Nchi hii Haina Dini.


Hata kwenye maonyesho ya nanenane Huwa tunawaona mkuu
 
Wanunuzi wa nguruwe huenda moja kwa moja kununua nguruwe wanakofugwa. Labda tuseme nguruwe ni wachache kuliko wanyama wengine wauzwao minadani na soko lake ni kubwa kutokana na kuhitajika, yaani high demand, low supply
Hii Nakubali kuwa wanunuzi wengi wafugaji wachache....wanafatwa hapohapo getoni√√
 
Kwa Sababu walahi wengi na nguruwe wachache sana!
Hivyo Wanafuata mazizini tu hakuna haja ya kuwapeleka minadani!
 
Sawa mkuu,, lakini hii sio sawa.
Kwa Nini Imani yao itupe shida sisi wengine?
Hata Mimi naunga nawewe kuwa sio sawa kabisa. Na kama Nchi wameshafanya kosa kubwa sana. Ila Kwa macho ya kawaida tu Zanzibar sidhani kama utaruhusiwa ila najua walaji ni wengi sana kule.
 
Hata Mimi naunga nawewe kuwa sio sawa kabisa. Na kama Nchi wameshafanya kosa kubwa sana. Ila Kwa macho ya kawaida tu Zanzibar sidhani kama utaruhusiwa ila najua walaji ni wengi sana kule.
Kweli ni vigumu kuipata huku,,Kama tuu mwezi wa mfungo hairuhusiwi kula hadharani,je hii nyama yetu sindio hatari zaidi.
 
Hawachungiki kirahisi kama mbuzi au ng'ombe,kama ilivyokuwa kwa kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…