Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

nothing else to contribute in this thread.
Just sit in back stage have some nice weed, 🚬🚬. listen to amapiano 🎡


.......Kush master......
Umetoa kitu Cha wapi leo Maputo au Kapilimposhi ?
 
Wanawake wa kaskazini? Bora ninyamaze tu. Hasa Wameru.

Nimekaa kwenye mahusiano na Mwanamke wa Kimeru kwa Mda wa Miaka mi tano. Ila Itoshe tu kusema nilijifunza mengi, na sitokuja kurudia kua na Mwanamke wa huko hata aweje.
Mkuu tiririka wamekufanya nini wameru au ulikutana na mmeru aliechanganyikana na mmachame ?
 
Sawa mkuu hongera sana kwa kuoa maana team kataa ndoa nimeona km walikua wanataka wakuandalie kadi ya uanachama,

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanawake wamejaa wa kila Aina. Ni wewe tuu ujipakulie umtakaye. Mkuu.
Kadi ya KATAA NDOA wapewe Vijana under 30, ni Haki Yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…