Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

Wote tunasahau ni hao hao NATO na USA ndio walimuingiza Ukraine chaka Kwa maslahi yao ya kuitumia Ukraine kama buffer zone yao kiusalama dhidi ya Russia.

Zele anajua anachofanya, na anajua msaada kwake ni lazima toka kwa hawa mabwana sio suala la hiari maana hii ndio ilikuwa ahadi ya yeye kuingia vitani dhidi ya Russia.
 
Hiko kikao kingekuwa dhidi ya Marais wetu hawa wa Africa dah tungeshuhudia kituko cha ajabu kutokea duniani na bado angerudi huku Africa na kusifiwa na machawa wake.

Viongozi waAfrica wanalakujifunza kutoka kwa Zele juu ya ulinzi wa Mali za nchi kwa manufaa ya wananchi na vizazi vyao na sio kusaini saini kila kinachokuja mbele na kutunisha mifuko.
 
Kama huo unapatikana wapi
 
Trump kakasirika sana dogo Zele kagomea mkataba wa kimangungo alifikiri angepata kitonga
Laijitapa kabla hata hajaja akamsikiliza, Trump alizania atamburuza kama hawa wakwetu huku Afrika 😛 😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…