Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

😘😘😘😘😘😘 nmekupa mabusu kabisa maana nmeona busu halitatoshaπŸ˜‚
Ahsante walau msuli sasa umeshuka! Nisinge tembea aisee..
Lini utakuja kumpa the chai maana unaukwasi si wa makaratisi! Nawe usiwe mbinafsi ukaja mgasi..πŸ˜‰πŸ˜œ
 
Thread closed [emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante walau msuli sasa umeshuka! Nisinge tembea aisee..
Lini utakuja kumpa the chai maana unaukwasi si wa makaratisi! Nawe usiwe mbinafsi ukaja mgasi..πŸ˜‰πŸ˜œ
Hayo tutaongea chemba babe, hapa watu wengi
 
Jibu very smart ingawa lina comedy kidogo ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mahusiano 90% ya wanawake wanakuwa na plan B ya nje hata kama hachepuki anajua kabisa kituo kinachofata ikitokea kuachana.
Na pia huwa tunachepuka kwa sababu na sio kwa tamaa ya macho maana mwanaume anachepuka lakini huwa hajui sababu ya kuchepuka na ukimfumania ukimwambia akakae na huyo uliyemfumania nae huwa hawezi kwendaaaa
 
Kumbe mwenzetu uko mbinguniπŸ™„πŸ™„
 
Sababu ni kuwa mwanaume anapambana sana ku maintain jimbo hasa wale wanaojimilikisha mademu level za European brands (slayqueen).

Mie nimejichagulia mwanamke level ya Toyota (Wife tirio). Pancha sio nyingi wala siwazi hata akisema tuachane nasonga mbele na Yesu cha muhimu uhai tu.

Ujumbe:
Masela Tusijimwambafai, kamua kwa uwezo!
 
Mapolisi na Askari magereza ndio vinara wa kujidedisha sababu ya mbunye

Mbunye ndiyo nini Ndugu? Hili neno na hata lile la sijui Popoma huwa naliona na nakutana nayo sana hapa JamiiForums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…