Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni uchinga wa Karne[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yangu ni ya thamani kuliko chochote.
MUNGU alinileta kwa kusudi.
MUNGU ana mpango na Mimi.
Bado Nina kazi ya kumfanyia MUNGU.

Maumivu ya mapenzi kamwe hayatanitoa katika kusudi la Mungu.
Siwezi kwenda motoni kizembe hivyo kwa ajili ya mtu asiyejua thamani yangu.

Namuacha aende,
Mume wangu yupo tu,
MUNGU ananiandalia,
Bado nitamsubiri tu..
Nitamsubiri kwa uaminifu kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasonga mbele na Yesu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiua si jambo zuri ila tambua kuwa anayependa ni mwanaume, mwenye mahaba ni mwanaume wanawake hawana!
 
Songa mbele Kama injili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namnaaa ... kama Mungu kakupangia huyo atakuwa wako, atakua tu.. ila kama sio atakuonesha mapema... kuachana kupo na ni kawaida kwenye mahusiano... lakini haifanyi mtu ujitoe uhai kisa ulimpenda...


Unasongaaa mbeleee tuuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika.

Mahusiano kuvunjika ni kawaida.

Kwanza ni kumshukuru tu Mungu kwa kukuondolea hilo balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaweza kujiua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokiona binadamu "ME"+"KE" si kiumbe chenye kuhodhiwa kwa matumaini ya 100 kwa 100! Ni kiumbe mwenye silaha ya makali yenye pande mbili.

Nilichojifunza ni kuishi kati kwa kati: Nikimpenda mwanamke ama kumkubali mtu simpendi sana kwani inawezekana siku akabadilika akawa ni adui yangu. Ikitokea kama nimechukizwa naye bado nafasi ya upendo kwangu kwake bado ipo, huenda siku akaja kuwa ni rafiki yangu ama ni mwandani wangu kwa maana suala la mapenzi.

Nilishachagua kushaurika, kuukubali ukweli hata kama ni mchungu, hisiya ziwe nyuma akili iwe mbele na nilisharidhia kwenye baadhi ya mazingira kuonekana mjinga.

Siwezi kujiua! Akinitenda share yangu kubwa ya mapenzi nitaihamishia kwa Mungu.
 
Vizuri[emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani niuache wali maharage duniani kisa m b o o πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hataa malaika watanishangaa kwa kweli. Ukiniacha naachika, napendeza nanukiaaa nasonga mbele kama injiliπŸ˜„
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ“Œ
 
Na pia huwa tunachepuka kwa sababu na sio kwa tamaa ya macho maana mwanaume anachepuka lakini huwa hajui sababu ya kuchepuka na ukimfumania ukimwambia akakae na huyo uliyemfumania nae huwa hawezi kwendaaaa
Ndiyo chakushangaza hapo, anagoma kabisa anaweza hata kujizuru sasa unamwambia kama mke hafai basi baki huko huko haaaa haaaa ngoma nzito!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…